Kwani kazi ya mbunge ni kuchangamsha bunge? Msigwa anadai eti yeye anafaa sababu amewafanya wananchi kutoogopa polisi na kuwa na uwezo wa kupambana na polisi,mbunge wa ki-TZ huyo akijinadi.
Kwa kifupi Msigwa anapigwa chini maana hamna namna nyingine.
Ndoto za mchana hizo
Kwa nini?
Atashinda asubuhi,Siasa ni ushawishi kama kawashawishi usitegemee kumshinda,siasa ni
Tell them what they want to hear
Kwasababu ya hizo picha mkuu
1. Msigwa hana kitambi kama MwakalebelaKwa nini?