Mchungaji Msigwa ubunge wa Iringa mjini hapati Tena

Mchungaji Msigwa ubunge wa Iringa mjini hapati Tena

Mwakalebela si ndo amepost ile picha mbaya ya kuidhalilisha bendera ya chadema!! Atashinda njaa sio uchaguzi
 
Mwakalebela aliacha kilio mtibwa hawawezi kumsahau
 
Mwakalebela ilikuwa bahati yake mwaka 2010 ,
ila saa hizi 2015 imekula kwake...atapata aibu kubwa sana.
 
Those people are no longer exist mkuu. People of nowdays they want to hear what they've never heared.

Hii ni lugha ya kabila gani...? maana sijaelewa ulichokiandika
kuanzia mwanzo hadi mwisho....au ulikuwa umevaa miwani ndipo ukaja kuandika..?
 
Mwakalebela si ndo amepost ile picha mbaya ya kuidhalilisha bendera ya chadema!! Atashinda njaa sio uchaguzi

..serious nimemdharau vibaya sana,anadhani siasa za kitoto ndio zitampa kura.?anyway hata asinge post hiyo picha bado naamini nguvu ya Msigwa iringa mjini imeongezeka zaidi ya 2010
#hapatikitu!
 
Akhsante mtabiri kwa utabiri wako. Nitumie namba yako nikupe kazi ya utabiri tupige pesa.
 
ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko mwakalebela kushinda ubunge iringa mjini .
 
Back
Top Bottom