Kumbe mnaogopa mafuriko ya CCM. Na badoOnyesha picha za wananchi acha porojo mkienda sehemu mkikosa watu mnakuja na picha za wambea tu
Kumbe mnaogopa mafuriko ya CCM. Na bado
Wakwanza huyooooooMafuriko ya maelekezo ya photoshop kutoka kwa Mkwere?
Embu angalia lijamaa lilivyovimbiwa rushwa ka kifurushi
Kumbe mnaogopa mafuriko ya CCM. Na bado
Waambie wasimchague huyu mgombea wa ccm kwa sababu ni mnene sana, mara baada ya kuchaguliwa atakabiliwa na matatizo ya kiafya jambo litakalosababisha serikali kutumia fedha ya walipa kodi kumtibia
Ndio habari hiyoNa yeye kama ndio hivyo wasimchague pia, tunahitaji viongozi wasaidie taifa na sio taifa liwasaidie wao. Ni gharama kubwa sana walipakodi wanaipata kutibia viongozi
Kwa nini?
Mchungaji Msigwa ndiye Mbunge utake usitake. Mhe. ni mtetezi sana wa watu na amechangamsha sana Bunge lililomaliza muda wake.