Pitia upya ulichokiandika haswa hapo namba tatuKuna Jambo unamiss Kijana,
1)Ubunge unatokana na ridhaa ya wananchi
2)Uchungaji Ni taaluma inayokwenda na wito
3) Nafasi za Ndani ya chama zinaenda kadili ya mtiririko, nafasi moja inatoa fursa ya kuchaguliwa juu zaidi. Msigwa he's Charismatic!
Hiki tunachokiona huenda ndo mwanzo wa mwisho wa enzi ya chadema katika siasa za Tanzania.
Mkuu, mnaanzisha chama kipya?Mkuu kumbuka kuvunjika kwa cdm ni mwanzo wa mwisho halisi wa ccm. Kumbuka hao waliovunjwa moyo na mwenendo wa cdm kuna mambo waliwakabidhi wayatimize wakashindwa. Nakuhakikishia kama sio cdm kumchukua EL hata kama ccm ingeshinda urais ingejikuta na idadi chini ya iliyopo ya wabunge. Ninaona vuguvugu jipya likichanua lisilohitaji ccm wala cdm kufikia mabadiliko wayatakayo watz. Cdm walijipambanua kwa kete y ufisadi wakachemsha kwa kuwa na EL, ccm wakairukia kama ghiliba kupata kura. Leo wamepata kura ufisadi wanaita makaburi na hayafai kufukuliwa!! Tunahitaji katiba mpya itakayotupa wagombea binafsi tunaambiwa nchi inanyooshwa kimabavu. Mabadiliko yanaletwa na hisia za mtu mmoja. Sasa wataka mabadiliko tunasema huu ni mwisho wa wanasiasa wote na vyama vyao. Ngoja uone siku chache zijazo hutaamini hili vuguvugu jipya na chama chetu ni matarajio yetu na eneo letu tutaanzia kwenye social media.
Umakamu mwenyekiti wa Bavicha unamtosha kwa sasa, ngoja kwanza akue, yeye ni kijana sana vyeo atavikuta tu huko mbeleni. Kwa sasa kipaumbele sio vyeo, ni ukombozi wa taifa letu.
Mkuu, mnaanzisha chama kipya?
Maneno ya mkosaji!
Tambala la deki utalifahamu tu!Rais
Mwenyekiti wa CCM.
swissme
kwa hiyo mnawaiga ccm?Rais
Mwenyekiti wa CCM.
swissme
kwa hiyo chadema haina tofauti na CCM?Rais
Mwenyekiti wa CCM.
swissme
Hakuna tatizo hapo. Hata hivyo unaonekana huhitaji kuelewa.Mch. Msigwa ni;
{1}Mbunge
{2}Mjumbe wa Mkutano Mkuu
Chadema
{3}Mjumbe wa Baraza kuu
Chadema
{4}Mjumbe wa Kamati Kuu
Chadema
{5}Mwenyekiti wa Chadema
Mkoa
{6}Mwenyekiti wa Kanda
baada ya wagombea
wengine kuenguliwa!
{7}Waziri kivuli Maliasili na Utalii.
{8}Mchungaji.
"RAISI APUNGUZIWE MADARAKA, NA WAKUU WA MIKOA PIA WANA VYEO VINGI SANA WAPUNGUZIWE" by Peter Msigwa 2015.
Sasa hapo wa kupunguziwa ni yupi? Wapinzani wanafanya siasa za maji ya chumvi