Mchungaji Msigwa ana vyeo vingi ndani ya chama

Pamputi

JF-Expert Member
Apr 22, 2016
984
1,000
Mch. Msigwa ni;
{1}Mbunge
{2}Mjumbe wa Mkutano Mkuu
Chadema
{3}Mjumbe wa Baraza kuu
Chadema
{4}Mjumbe wa Kamati Kuu
Chadema
{5}Mwenyekiti wa Chadema
Mkoa
{6}Mwenyekiti wa Kanda
baada ya wagombea
wengine kuenguliwa!
{7}Waziri kivuli Maliasili na Utalii.
{8}Mchungaji.

"RAISI APUNGUZIWE MADARAKA, NA WAKUU WA MIKOA PIA WANA VYEO VINGI SANA WAPUNGUZIWE" by Peter Msigwa 2015.

Sasa hapo wa kupunguziwa ni yupi? Wapinzani wanafanya siasa za maji ya chumvi
 
Mgaya D.W

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
966
250

Kuna Jambo unamiss Kijana,
1)Ubunge unatokana na ridhaa ya wananchi
2)Uchungaji Ni taaluma inayokwenda na wito
3) Nafasi za Ndani ya chama zinaenda kadili ya mtiririko, nafasi moja inatoa fursa ya kuchaguliwa juu zaidi. Msigwa he's Charismatic!
 
ponopono

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
497
500
mtoa post nazan inabf akubal kwenda shule. nafas alizonazo msigwa hakuna hta moja yenye madaraka ya kuamua jambo kama akitaka. ni had ashirikiane na wenzake.tofauti na madaraka alo nayo rais akiamua leo usitoke nje ya nyumba yako inakua hivyo.
 
Nna wasi wasi na uwezo wako Mkuu
Au kwko maamuzi unamaanisha nn lbd?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom