Mchungaji Msigwa ana vyeo vingi ndani ya chama

Kila Waziri ni mbunge na siyo kwamba kila mbunge ni Waziri. Kila mbunge ni mjumbe wa Halmashauri kuu ni siyo kwamba kila mjumbe wa Halmashauri kuu kuwa mbunge. Nchi yetu haina Dini. Ukiyaelewa haya niliyokuandikia utaishi katika siasa zetu kwa amani sana na hutatokwa na povu bila sababu
 
Mch. Msigwa ni;
{1}Mbunge
{2}Mjumbe wa Mkutano Mkuu
Chadema
{3}Mjumbe wa Baraza kuu
Chadema
{4}Mjumbe wa Kamati Kuu
Chadema
{5}Mwenyekiti wa Chadema
Mkoa
{6}Mwenyekiti wa Kanda
baada ya wagombea
wengine kuenguliwa!
{7}Waziri kivuli Maliasili na Utalii.
{8}Mchungaji.

"RAISI APUNGUZIWE MADARAKA, NA WAKUU WA MIKOA PIA WANA VYEO VINGI SANA WAPUNGUZIWE" by Peter Msigwa 2015.

Sasa hapo wa kupunguziwa ni yupi? Wapinzani wanafanya siasa za maji ya chumvi

Kwa kweli inauma sana mkuu, maana tulishajiandaa vizuri na kwa gharama kubwa sana kucheza ile karata yetu ya ukaskazini lakini Sasa haitawezeka, zaidi tutalazimika kuanza kutafuta mbinu nyingine ya kuwakabili hawa jamaa!
 
Back
Top Bottom