Mchungaji Msigwa aendelea kuifumua CCM mkoani Iringa

Mchungaji Msigwa aendelea kuifumua CCM mkoani Iringa

Haya ndo mambo tunayo taka kuwafikia wananchi na kufungua matawi mpaka vijijini.
Hongera sana Mchungaji Mungu akutangulie kwa yote unayo yafanya.
 
Kazi ni nzuri, ni vizuri wabunge wangine waige mfano huu hasa wale wenye matarajio ya kurudi tena mjengoni mwaka 2015na kukitakia mema CDM, nashauri mjikite zaidi vijijini
 
Safi kamanda endelea kukijenga jana tupo nawewe,somo lako naona linaanza kueleweka wewe si Mbunge wa kugawa hela,kofia,kanga,fulana wewe ni Mbunge wa kushirikiana na wananchi katika kuleta maendeleo ya jumla..
 
Hivi kwa nini hatuoni Mbunge Selasini naye akifanya mikutano ya kuingiza wanachama na kuijenga CDM huko Rombo? Amekuwa hahangaiki kabisa kuijebga CDM Rombo.Huyu ni gamba na hafai kuiwakilisha CDM 2015
 
huyu mtu si mzima na isitoshe kaishia la saba unafikiri kwa kutumia masaburi udini wakati nyie mnakula kwa uchungaji wa baba yako sasa unapondea nini. kwenye sifa sifia. hzo ndo chuki
 
Huyu ni Mbunge wa vitendo, anapambana kivyake vyake ktk ukanda wake, anazidi kujidhihirisha anastahili kuitwa kamanda mpiganaji, inabidi awe mfano kwa wabunge wengine wa chadema. viva msigwa, viva chadema.
 
Hapo ndipo ninapowapendea cdm...UKUMBI WA KANISA KATOLIKI..duh haya siasa siku hizi udini nje-nje
Ulikuwa unataka wakafanyie kikao kwenye Ukumbi wa BAKWATA wakati haupo?

Waambieni BAKWATA nao wawe wanajenga vitega uchumi.... gad-em!!
 
Hivi kwa nini hatuoni Mbunge Selasini naye akifanya mikutano ya kuingiza wanachama na kuijenga CDM huko Rombo? Amekuwa hahangaiki kabisa kuijebga CDM Rombo.Huyu ni gamba na hafai kuiwakilisha CDM 2015
Mkuu, Sio Selasini peke yake, wapo wengi zaidi.
However, my point is, Kuna watu wana disaddvantage coz majimbo yao yapo vijijini.
Chochote kidogo wanachofanya kinaweza kisionekane humu.

Think about that!!!
 
Msingwa ni jembe!hasikiki akipiga makelele lakn ufansi wake tumeuona.si kusubiri mpaka muda wa kampeni.msingwa wel don!!
 
Hongera sana Mchungaji Msigwa,Tunakukubali sana.Wewe unazidi kudhihirisha ule usemi kwamba."Mbunge Mmoja wa CDM ni sawa na wabunge 50 wa CCM" Big up
 
Mwanzoni waliwaza watumie ukumbi wa Msikiti kwakuwa mahali pale hakuna mtu binafsi mwenye ukumbi walipokwenda kwa waheshimiwa Maimam maimam wakajibu kuwa misikiti yenyewe ni midogo size ya choo cha kulipia pale Mwenge so they were left with no option isipokuwa ukumbi wa katoliki ambao ni robo tatu ya Dimond Jubilee

Dah! We Mjinga una Majibu Mavi sijapata kuona Dah
 
Hongera bwana msigwa kwa kuleta fikra chanya kwa wananchi wa iringa,hakika unastahili pongezi tofauti yako kiutendaji imejionyesha wazi
 
Hawa CDM full kujipanga utawaskia Nchi zima huyu huku huyu kule,huyu gazeti,huyo redioni,huyu kwenye TV,hawa Mkutanoni,yule katika Ufunguzi,kweli Nyie Hatari
 
Hapo ndipo ninapowapendea cdm...UKUMBI WA KANISA KATOLIKI..duh haya siasa siku hizi udini nje-nje
acha huhewani wewe katika eneo hilo hakuna ukumbi wa kukidhi jamii kubwa ya wanachadema zaidi ya huo na kwanza hawakupewa bure wamelipia isittoshe kwa taarifa yako msigwa si muarc sasa hapo udiniiiiiiiii upo wapi acha ukuda mbona uhoji izo picha nyingine mtatafuta pa kutokea mwaka huu
 
Back
Top Bottom