kamandamakini
Senior Member
- Feb 17, 2012
- 184
- 148
[h=3]LEO: ccm yaendelea kufumuliwa na Mbunge Msigwa[/h]
akifungua tawi la kihesa.
Msigwa akiwahutubia wakazi wa kihesa maeneo ya semtema jioni ya leo
akina mama wakipanga foleni kuchukua kadi za chadema
sehemu ya umati ukimsikilza Msigwa kwa umakini
Msigwa akisalimiana na akina mama ambao ni wanachama wapya.
Msigwa aendelea kuifumua CCM mkoani iringa
source: Mbunge Wako Iringa Mjini

katika mkutano huu Msigwa amewahimiza kuwa chama kitajengwa na wanachama, na kuwasihi wanachi kupuuza propaganda za CCM dhidi yake na chama chake, mikutano yake inaendelea tena kesho kata ya Ruaha. katika mkutano huo alivuna wanachama wapya wakimama 78, kama wanavyoonekana katika picha hapo juu.
Msigwa aendelea kuifumua CCM mkoani iringa
Msigwa akiwahutubia wananchi wa makambako katika ufunguzi wa matawi makambako.
umati wa watu katika mitaa mbalimbali makambako.
sehemu ya umati wa wananchi wa makambako wakimsikiliza kwa makini mbunge msigwa
wanachama wapya kujiunga chadema kutoka ccm siku hiyo ya tarehe 19 jumapili.
akiongea na wanachama katika ukumbi wa RC makambako.