Mchungaji Msigwa aboronga Bungeni

transcription error, "karibia hekta 300 ambazo zinakaribia ekari 800"

ilihitaji njia za serikali za kuwapumzisha hawa watz na biashara hii ya kusaka kuni na mkaa toka zama za mawe hadi hizi zama za electronic ama digitali (waweza kuziita zama za chuma).

Mtu makini angejibu hili na kufurahia kupata fursa ya kuwaeleza wananchi mipango ya wizara yake ama serikali juu ya hili.
 
Lizaboni, Sixgate etc mnaudhalilisha utu kwa pumba mnazopost, ona mnavyoaibika. Kikubwa ni uharibifu wa mazingira ambao hauathiri mabwana zenu bavicha peke yke, (maana bila kuwatajataja hamsikii raha kwa jinsi wanavyowakosha), hili ni janga la taifa inabidi tuungane kulipga vita. Tuache ushabiki.
 

mkuu kwanza naomba nipingane na wewe msigwa siyo mchungaji bali kajibandika tu huo uchungaji lakini siyo wake ni mtu wa kulaghai tu.
 

Akili yako inamatatizo kama kasoro ndogo kwa kiwango hicho ukapata ujasiri wa kudharau mtu kwa maana nyingine umejidharau mwenyewe. ebu fikiri muhimu pale ilikuwa ni data ama kujua kiwango cha uharibifu wa mazingira? usitafute neno ktk kukosoa mtu jenga ama pingana na hoja.
 

Mkuu, hakika wewe somo la VIPIMO VYA METRIC vimekupiga chenga sana. yaani nimesoma kwa makini sijui ulikuwa na lengo la kurekebisha au ndo kuendelea kuboronga kama alivyofanya ndugu yako Msigwa. Yaani hii ni aibu sana kwa watu mnaojinasibu kuwa mpo makini
 

Mkuu, kwa sisi tunaodeal na data, kosa la msigwa limetokana na kupresent data za uongo. kosa lake hajui nini alikuwa anakisema. unajua kwenye ulimwengu wa data, kosa la kitakwimu ni baya sana kuliko spelling mistake. Msigwa ajitokeze na aombe radhi ili asiharibu kumbukumbu za bunge
 
mkuu kwanza naomba nipingane na wewe msigwa siyo mchungaji bali kajibandika tu huo uchungaji lakini siyo wake ni mtu wa kulaghai tu.

kumbe waweza kujipachika! acha dharau ktk mambo ya Mungu
 
Mkuu, hoja hiyo ameshaitolea ufafanuzi na wewe unajua. au una hoja nyingine kwenye hiyo hoja? Simbachawene amesema kuwa anaviheshimu vibatari na ndivyo vilivyomsaidia hadi amepata mafanikio makubwa ya kielimu

na wewe unaweza kuwahadithia wazazi wako kuwa unaviheshimu viporo sababu vilikusaidia kwenye kukua kwako( wakati unaongelea kesi ya mikate na vitumbua?)
 
mkuu kwanza naomba nipingane na wewe msigwa siyo mchungaji bali kajibandika tu huo uchungaji lakini siyo wake ni mtu wa kulaghai tu.

Mkuu, NASHUKURU SANA KWA UFAFANUZI HUO. ILA NASHANGAA SANA, MBONA WENGI WANAMWITA KWA JINA LA MCHUNGAJI MSIGWA?
 
na wewe unaweza kuwahadithia wazazi wako kuwa unaviheshimu viporo sababu vilikusaidia kwenye kukua kwako( wakati unaongelea kesi ya mikate na vitumbua?)

Mkuu, asifiaye mvua jua imemnyeshea.
 
hivi kumbe ukiwa MWANACCM ubongo unaganda ! ndiyo umeandika nini sasa ?
 
Hekta 300 haiwezi kuwa sawa na Ekari 800 bali ni sawa na Ekari 741.

Alichokosea hapo ni nini? alichofanya Mch. Msigwa ni kukadiria ili watu waelewe kwa urahisi, 741 kwa 800.
 

hata babaako huwa anakosea
GONGA LIKE HAPO
 

Nani anataka Data! nani anatakiwa ajue uwepo wa uharibifu wa mazingira? tuseme kipi cha msingi? Nakama si dharau ilikufaa uandike kama ulivyo nijibu si ktk dharau ya kiwango ulichofikia. Kuupuza ukweli nikujipuuza mwenyewe. au unataka turudi darasa la nne tuseme ( 2 mara 2 ni 4) wenye akili tutajua si lazima iwe jibu ni 4.
 

Hayo ni mawazo yako binafsi na mtazamo wako kama ungekuwa mkweli sku zote,tungekupata vizuri kama ungekuwa tayari kuwakosoa hat baadhi ya mawazir juu ya takwimu za uongo wanazoziwakirisha bungeni,lakini kwa sababu unasukumwa na ushabiki zaidi ya uhalisia juu ya wale unaowaona ni maadui zako kisiasa.
 
Badala ya kusikitikia uharibifu unaofanyika,wewe una hoji usahihi wa makadirio ya kimahesabu?!

This is very stupid mentality!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…