Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
hapana kuokoka siyo utapeli uzinzi,ulevi,ujambazi ndiyo majanga.kuokoka ni kuacha mabaya.Huu utapeli sasa ni hatari
Siku hizi ulokole umekuwa too cheap.
Cheap ninayoizungumzia hapa sio kuhusu bure au kuununua....si wamesema kila atakaye atapata bure..!!?? kwani umewahi kuwa wa gharama mkuu...??
mkuu juzi nimeona kipeperushi cha gospel beach partySiku hizi ulokole umekuwa too cheap.
Unashangaa hilo!mkuu juzi nimeona kipeperushi cha gospel beach party
Unashangaa hilo!
Kuna mfanyakazi wa radio clouds fm ameanzisha night club ya gospel.
1. Mchungaji Masanja
2.akiwa na ma bodyguard wake
3. Akiwa kwenye moja ya huduma za maombezi
4. akiwa kwenye moja ya miradi yake na akionesha kazi za mikono yake
5. Mchungaji mzee wa swaga akiwa anajiandaa kuelekea katika safari za
kiroho........... picha nyingne ni swaga tu
6. Club kula mema ya duniani one time .. hiyo hair style daaah "ni mwendo
wa mabutu
6. akiwa kwenye moja ya kazi zake "comedy" na mchekeshaji mpoki
Cheap ninayoizungumzia hapa sio kuhusu bure au kuununua.
Siku hizi hata mbwa mwitu anajipa jukumu la kuchunga kondoo ndio ucheap ninaouzungumzia.