Mchungaji Marufuku Kukanyaga Chini

Tunaangamia kwa kukosa maarifa. Halafu hao jamaa kama makondoo wanaoenda kuchinjwa wanakubali tu kukanyagwa!
ukikanyagwa ndio stimu ya kiroho inakuja kwa wingi
 
UKRISTO Ni km Movie flani isio na Mwisho! Halafu kila siku ma actor wanabadilishwa .
.teh teh teh teh.

Na bado. Tutaona mengi zaidi.

Hizi imani za kuanzisha mitaani Balaa sana.
unaamisha actor mkuu ni nani
 
Mazuzu wa kiimani wako Tanzania... Huyo mchungaji hata akilamba papuchi za wake zao wataona bwana kawatembelea,.
 
Alikua akifundisha kwa MIFANO. Halikua tukio la muda mrefu. Msilaumu kila kitu, kwani mlikuwepo? Kuna mtu.kauliza hapo juu kwamba "aliendaje chooni?" Mpeni jibu...

Wala usimtetee huyu ni type ya kina Kibwetere, mimi ni mkristo nafahamu sana tabia ya hawa makajanja na wakikuona unawapinga wanakusimanga ili uhame kanisani
 
Amavumbi nimecheka hadi nimelia, Africa kuna mambo, alikuepo mchungaji mmoja mbezi ya kimara anaitwa John, yeye akikujua mdhambi anakuchapa viboko mbele za waumini tena siku ya ibada
 
Dini za kipuuzi kama hizi huko Nigeria na hapa Tanzania zimejaa sana. Yaani sielewi kwa nini watanzania tunakuwa wapuuzi kihivi?
 
nahisi mshana jr anamjua huyu.mtu aje atusaidie khaaa hawa ndio wakina geo davi
 
Wala usimtetee huyu ni type ya kina Kibwetere, mimi ni mkristo nafahamu sana tabia ya hawa makajanja na wakikuona unawapinga wanakusimanga ili uhame kanisani

Wataje kwa majina na walipo hao unaowajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…