Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,165
- 41,903
Kwasbb adamu aliuza kila kitu kwa shetani!Ingekuwa kweli basi Yesu Kristo nayeye angezaliwa kwa wazazi matajiri, labda hata kwenye ukoo wa kifalme... imekuwaje sasa akazaliwa na Bikira Maria ambaye alikuwa kachumbiwa na Joseph Seremala??
Ndo maana ht Yesu alipojaribiwa hakubisha alikuwa mpole!
Mpk alipoenda msalabani,ili turudishiwe lilichokua kimepotea