Mkuu, hapo kwenye Bold sijakuelewa, kumbe kuna mafuta hua yanatoa majini kwa watu ukipakwa? Sasa hapo connection ya utapeli mbona sijaiona? Anyway, nawasubiri waliomnanga Kakobe kwamba kachanganya dini na siasa, huyu sasa ambae tunajua ni mnazi wa magamba nae katamka neno, sijui hapa pia siasa imechanganywa na dini?