babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,326
Huyu mwoga, sikumwona Jangwani, lakini angalao anazungumzia shimoni.
Hapa magamba hawachomoki
Naona na wao wameshtuka, wanauziwa mbuzi kwenye gunia.hahaha,watoto wa lumumba,buku 7 fc wapo wapi?
Siku zote Mungu huwa anasimamia haki,na haki ya mtu haizulumiwi bali hucheleweshwa.watashindana hawatashinda
Peleka ujinga wako mkuu ROMBO..Umemnunua wewe..senge kweli wewe kwenye maslahi ya taifa.huyu ni mnafiki kuna wakati huwa anawasifia sana. Tunajua alinunuliwa tangu uchaguzi uliopita hapo kaongea ili aongezewe dau.
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) la Ubungo Kibangu, Anthony Lusekelo, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinashinikiza
kusainiwa kwa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa mwaka 2013, ili ipatikane katiba itakayokibeba chama hicho.
source: mwananchi
mchungaji tapeli heti anafanya miujiza kwa jima la Yesu.huyu huwa anatumiaMchungaji wa Kanisa la Maombezi
(GRC) la Ubungo Kibangu, Anthony
Lusekelo, amesema Chama Cha
Mapinduzi (CCM), kinashinikiza
kusainiwa kwa Muswada wa
Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko
ya Katiba wa mwaka 2013, ili
ipatikane katiba itakayokibeba chama hicho.
source mwananchi
huyu ni mnafiki kuna wakati huwa anawasifia sana. Tunajua alinunuliwa tangu uchaguzi uliopita hapo kaongea ili aongezewe dau.
Kuna kitu anataka kuongea kuhusu wapinzani hususani Chadema, hivyo ametoa kauli hiyo ili siku akifagilia CCM dhidi ya CDM ionekane ni mtu makini na anamaono ya kimungu.