Mchungaji KKKT akemea wanaowatakia wananchi maisha ya mashetani

Mchungaji KKKT akemea wanaowatakia wananchi maisha ya mashetani

Je baada ya miaka hii miwili waliokuwa wakinyanyasika kwa kuonewa na kuporwa haki zao wanaishi kama malaika?
Hakika saa yaja nao watakula matunda ya ardhi yao. We ulikuwa mpiga dili? Pole
 
Waliokuwa wanaishi kama malaika enzi ya upigaji dili wataishi kama mashetani na waliokuwa wakinyanyasika kwa kuonewa na kuporwa haki zao wataishi kama malaika. Mwisho wa kuedit
Kimara walikua wanaishi kama malaika sasa hivi wanishi kama mashetani. Mwanza walikua wanaishi kama mashetani sasa hivi wanaishi kama malaika. Maana hata nyumba wameambiwa wasivunjiwe maana walimchagua mkuu.
 
Mkuu mimi si kamam wewe unayeshangilia watu wakipata matatizo. Mimi mTZ ambaye hata nchi isipokuwa na Rais hainipi shida, mkate wangu wa kila siku naupata kwa uhalali sio kwa ujanjaujanja kama wewe.
 
Kimara walikua wanaishi kama malaika sasa hivi wanishi kama mashetani. Mwanza walikua wanaishi kama mashetani sasa hivi wanaishi kama malaika. Maana hata nyumba wameambiwa wasivunjiwe maana walimchagua mkuu.
Tunazungumzia wale waliokuwa na siti zao permanent bar na glass zao kulipiwa milioni moja kwa mwezi na kumiliki mhudumu binafsi, hao wa Kimara ni sheria msumeno, hao wa Mwanza hakuna project kwa sasa wakar kwanza.
 
Kweli nimeamini kkkkkttttt na chadomo ni chanda na pete, ndo maana hata sumu haye low hasa, na nyandula wameenda kuongeza nguvu kwenye chama cha kanisa
Mkuu nyie wafuasi wa pengo mmesaini ushetani si ndio?
 
Kichwa cha habari yako kilipaswa kusomeka hivi:

" Mchungaji KKKT amkemea anayewatakia wananchi maisha ya mashetani "
Yani jamaa hovyo Sana. Lenyewe linashibdilia Na kubugia ugali wa bure. Mahawara zake wake well off nakuwagawia Hadi nyumba za serikali
 
  • Thanks
Reactions: mij
Ilikuwa ni ibada maalum ya maombi na maombezi usharika wa Magomeni mviringo. Mchungaji (sikupata jina lake lakini sio Kiporoza) alikemea kwa jina la Yesu wale wanaotamanani watu waishi kama mashetani na kumuomba Mungu aliye hai awape wao sawasawa na matamanio yao ya kuishi kama shetani.

Akaomba kwa Mungu wa mbinguni ya kwamba awatakabali waumini na kuwapa maisha ya malaika wa mbinguni. Ibada ilikuwa nzuri sana, baada ya maombi na maombezi nyuso za washarika zilijaa bashasha na matumaini.
Tutafutie jina lake na kabila lake!Je kwenye hiyo ibada kulikuwa na vikapu vingapi vya sadaka? Alihimiza michango kama kawaida?
 
Back
Top Bottom