Mchungaji: Josephine Mushumbusi tulijuana Facebook

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Mchungaji anayetuhumiwa kuwa naye alihusika katika mpango wa kumuua Dk Slaa amesema walichati na kujuana na Josephine Mushumbusi Facebook

Mytake:
Hii Facebook ni hatari wanawake muwe waangalifu. mtavunja ndoa zenu

Si mwingine bali yule Mchungaji anayetuhumiwa kula njama za kumuua Dr. Slaa. Mchungaji ISACK LOYD aliyasema hayo mwenyewe wakati akihojiwa na gazeti MTANZANIA kuhusiana na tuhuma zinazoelekezwa kwake za kula njama za kutaka kumuua Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Wilbroad SLAA.

Mchungaji Loyd alifikia uamuzi wa kufichua siri hiyo baada ya kuulizwa ana maana gani anaposema "MAPITO MAGUMU KATIKA MAISHA YAKE", ndipo alipofunguka na kusema Kabla hajaokoka na kuwa Mchungaji, ALIKUWA KIONGOZI WA GENGE LA MAJAMBAZI HUKO RUVUMA.
Mchungaji aliendelea kufunguka na kusema: "Nimewahi kuuza Madawa ya Kulevya na nilikuwa natumia. NIMESHIRIKI VITENDO VYA UJAMBAZI KWA KUONGOZA KUNDI LA WAHALIFU HUKO SONGEA NA NIMENUSURIKA KUUAWA MARA KADHAA KABLA NA BAADA YA KUOKOKA, NIMEWAHI KUJERUHIWA KWA RISASI MGUU WANGU MMOJA NA NIMEWAHI KUCHOMWA BISIBISI PUANI IKATOKEA MDOMONI.

ALIVYOJUANA NA JOSEPHINE MSHUMBUSI: anasema na hapa nanukuu: "Josephine kama ilivyo kwa watu wengine ALINIOMBA URAFIKI, NAMI NIKAMKUBALIA , AKANIPONGEZA KWA KAZI NZURI NINAYOIFANYA NA TUKAANZA KUWASILIANA MARA KWA MARA" mwisho wa kunukuu.

source: Gazeti la Mtanzania la leo 05/04/2015 , siku ya PASAKA.

Mytake: Sitaki kujiuliza maswali kama Dr. SLAA alikuwa anajua mawasiliano ya mara kwa mara ya hawa wapendwa wawili kabla Mchungaji hajakaribishwa Nyumbani kutoa huduma ya kiroho. Swali kubwa ninalobaki baki nalo leo baada ya kusoma taarifa hii ni :

1. JE Mchungaji ISACK LOYD ameacha kazi yake ya zamani ya ujambazi na kuuza na kutumia dawa za kulevya?
2. Kama alivyosema kuwa alikuwa kiongozi wa GENGE LA MAJAMBAZI, baada ya kuachana na uhalifu huo(kama ameacha kweli) ametoa ushirikiano kwa Serikali ili kuhakikisha mtandao wake wa ujambazi na dawa za kulevya unajulikana ili kusambaratishwa?

LA MSINGI KABISA: SOTE tunajua DR. SLAA si tu kwamba ni Muumini wa Dhehebu la KATHOLIKI bali aliwahi kuwa kiongozi wa juu kabisa wa Kanisa Katholiki. Huu utitiri wa Wachungaji wa ajabu ajabu kwenda kwake, wachungaji wenye tuhuma za ajabujabu tu siyo kwamba huyu MAMA MSHUMBUSI NI SHIIIIIIIIIIDA?

View attachment 240636

CHANZO: Mtanzania
 
Mchungaji anayetuhumiwa kuwa naye alihusika katika mpango wa kumuua Dk Slaa amesema walichati na kujuana na Josephine Mushumbusi Facebook

Mytake:
Hii Facebook ni hatari wanawake muwe waangalifu. mtavunja ndoa zenu

Sosi: Magazeti RFA
Nakushauri Dr.W.Slaa kama jamaa yangu jipange ukapime DNA ya dogo junior.
 
Last edited by a moderator:
Si mwingine bali yule Mchungaji anayetuhumiwa kula njama za kumuua Dr. Slaa. Mchungaji ISACK LOYD aliyasema hayo mwenyewe wakati akihojiwa na gazeti MTANZANIA kuhusiana na tuhuma zinazoelekezwa kwake za kula njama za kutaka kumuua Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Wilbroad SLAA.

Mchungaji Loyd alifikia uamuzi wa kufichua siri hiyo baada ya kuulizwa ana maana gani anaposema "MAPITO MAGUMU KATIKA MAISHA YAKE", ndipo alipofunguka na kusema Kabla hajaokoka na kuwa Mchungaji, ALIKUWA KIONGOZI WA GENGE LA MAJAMBAZI HUKO RUVUMA.
Mchungaji aliendelea kufunguka na kusema: "Nimewahi kuuza Madawa ya Kulevya na nilikuwa natumia. NIMESHIRIKI VITENDO VYA UJAMBAZI KWA KUONGOZA KUNDI LA WAHALIFU HUKO SONGEA NA NIMENUSURIKA KUUAWA MARA KADHAA KABLA NA BAADA YA KUOKOKA, NIMEWAHI KUJERUHIWA KWA RISASI MGUU WANGU MMOJA NA NIMEWAHI KUCHOMWA BISIBISI PUANI IKATOKEA MDOMONI.

ALIVYOJUANA NA JOSEPHINE MSHUMBUSI: anasema na hapa nanukuu: "Josephine kama ilivyo kwa watu wengine ALINIOMBA URAFIKI, NAMI NIKAMKUBALIA , AKANIPONGEZA KWA KAZI NZURI NINAYOIFANYA NA TUKAANZA KUWASILIANA MARA KWA MARA" mwisho wa kunukuu.

source: Gazeti la Mtanzania la leo 05/04/2015 , siku ya PASAKA.

Mytake: Sitaki kujiuliza maswali kama Dr. SLAA alikuwa anajua mawasiliano ya mara kwa mara ya hawa wapendwa wawili kabla Mchungaji hajakaribishwa Nyumbani kutoa huduma ya kiroho. Swali kubwa ninalobaki baki nalo leo baada ya kusoma taarifa hii ni :

1. JE Mchungaji ISACK LOYD ameacha kazi yake ya zamani ya ujambazi na kuuza na kutumia dawa za kulevya?
2. Kama alivyosema kuwa alikuwa kiongozi wa GENGE LA MAJAMBAZI, baada ya kuachana na uhalifu huo(kama ameacha kweli) ametoa ushirikiano kwa Serikali ili kuhakikisha mtandao wake wa ujambazi na dawa za kulevya unajulikana ili kusambaratishwa?

LA MSINGI KABISA: SOTE tunajua DR. SLAA si tu kwamba ni Muumini wa Dhehebu la KATHOLIKI bali aliwahi kuwa kiongozi wa juu kabisa wa Kanisa Katholiki. Huu utitiri wa Wachungaji wa ajabu ajabu kwenda kwake, wachungaji wenye tuhuma za ajabujabu tu siyo kwamba huyu MAMA MSHUMBUSI NI SHIIIIIIIIIIDA?

20150405_134557.jpg
 
Mimi mwenyewe nimejuana nae Fb kabla ya dr w.slaa hajajuana nae.
 
Sijajua kwanini watu wote wanaosema wameokoka nawengine kuwa wchungaji walipitia maisha ya kishetani mwisho wa siku ni watumishi waandamizi wa Mungu, au ndio kusema shetani akizeeka anakuwa malaika?
Na inajulikana jasiri aachi asili yaweza kua kuna kamchongo kasicho kizuri kalikua kanaandaliwa kakabuma! Ila juwa mwanamke anauwezo wa kutumika kukumaliza na tangu awali mwanamke ndio asili au njia ya uovu wote na ndio maana alie tuumba akatutahadharisha kuishi nao kwa akili sana.
 
Hata Godbless Lema ambaye kwa sasa ni mwanasiasa wa chadema aliwahi kuwa jambazi tena ujambazi wa kutumia sikaha
 
Baada yakuwashugulikia vilivyo nakukosa jimbo la Arusha ndio zikaletwa hivi vioja vya futuhi unavyovisema hapa
 
Hata Godbless Lema ambaye kwa sasa ni mwanasiasa wa chadema aliwahi kuwa jambazi tena ujambazi wa kutumia sikaha

Bora huyo bado anaweza kutekeleza shughuli za awali kwa njia ya shughuli ya sasa ya kisiasa kuliko mchungaji
 
Kama ndo hali hiyo Dr slaa hafai kabisaa kuwa hata kiongozi wa chama,jeshi la polisi liwachunguze mapema wote.
 
Back
Top Bottom