Mchungaji: Asikudanganye mtu, pesa ndo kila kitu, wallet ikiwa 'loaded' ni heshima mtaani

Fedha inajenga shule,kanisa,daraja,nyumba n.k bila fedha utajuta..ngoja minute maana hapa nilipo kwa sina kazi..Kazi ni hela usifanye kazi kama hakuna hela.
 
Mchungaji Maboya wa huko Nairobi nchini kenya anasema:-

"Pesa ndo kila kitu aisee, asikudanganye mtu. Pesa huleta heshima mtaani. Wallet iliyojaa noti (loaded) mpaka suruali inashuka, ni heshima mtaani. Wanaume wengi wasio na pesa huongea sauti za kike, sauti lainii.Kijana mdogo akiwa na pesa anaogea sauti yake original kwa kujiamini"

Mwisho wa kunukuu.

Nini maoni yako?

Apostle Dastan Haule Maboya ni Mtanzania anayefanya kazi na Calvary Assemblies of Tanzania.
 
Mchungaji Maboya wa huko Nairobi nchini kenya anasema:-

"Pesa ndo kila kitu aisee, asikudanganye mtu. Pesa huleta heshima mtaani. Wallet iliyojaa noti (loaded) mpaka suruali inashuka, ni heshima mtaani. Wanaume wengi wasio na pesa huongea sauti za kike, sauti lainii.Kijana mdogo akiwa na pesa anaogea sauti yake original kwa kujiamini"

Mwisho wa kunukuu.

Nini maoni yako?

Mch Mboya sio wa huko Nairobi bali ni Mtanzania labda kaenda kenya kwa Semina ya neno la Mungu tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom