Mchungaji Anthony Lusekelo awapa onyo CHADEMA

Yesu rudi manake wale manabii uliotuambia watatokea nyuma yako wamekuwa wengi sana wanazidi kuupotosha ulimwengu
 
Ndani ya Ibada unahubiri siasa
Bora gwajima alikuwa anahubr katk majukwaa ya siasa
Nilivyoana anahubir siasa nikabadli channel
 
Jamaa linawaponda wanaume wanaopewa ela na wanawake wakati huo yeye naye anapokea za haohao wanawake
NJAA MBAYA SANA


Jizi linakua linajisahau. Linachangisha masikini badala ya kuwasaidia eti linawaombea
 
Reactions: PNC
Jizi linakua linajisahau. Linachangisha masikini badala ya kuwasaidia eti linawaombea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani anakinga ela za maskini had na mkono wa kushoto na bado jitu linapiga AAAAAMEEEEN hv mtu kama lusekelo anaweza vp kukuteka akil

KWELI WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA
 
Kuna
Jamaa linawaponda wanaume wanaopewa ela na wanawake wakati huo yeye naye anapokea za haohao wanawake
NJAA MBAYA SANA

Tafiti imesema watanzania wanatumia asilimia moja ya akili zao.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani anakinga ela za maskini had na mkono wa kushoto na bado jitu linapiga AAAAAMEEEEN hv mtu kama lusekelo anaweza vp kukuteka akil

KWELI WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA

Watu wapuuzi wajinga kabisa. Eti anakuobea utajirike wakati yeye anakusanya elfu moja ya masikini. Si ajiombee atajirike. Mijitu inashindwa kujiuliza kama ana nguvu za hivyo mbona anakusanya hela yetu sisi masikini.
 
Jamaa linawaponda wanaume wanaopewa ela na wanawake wakati huo yeye naye anapokea za haohao wanawake
NJAA MBAYA SANA

Mwaume gani anae Jichubuwa, tena mchungaji!!!! Ona mashavu yake yalivyo unguwa kwa Mkorogo
 
Hakuna alie mkamilifu,ila huyu ninahakika hata hao waumin wake wamempuuza,eti anajifanya haoni hali ilivo ngumu,ninamueshimu kiongoz wa kiroho,ila amepotoka kwa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…