Akupe million 2 just like that. You must be joking. Kula, uliwe!Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.
Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.
Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.

[/QUOTE
Asingekuwa mtumishi wa Mungu Ungemgeya? kwa kauli hiyo naona tayari manyoa yanaonekana ndege keshaliwa. ungesema kama yusufu
Mwanzo 39:9 Hakuna mkuu katika nyumba hii kuliko mimi, wala hakunizuilia kitu cho chote ila wewe, kwa kuwa wewe u mkewe. Nifanyeje ubaya huu mkubwa nikamkose Mungu?
kwa hiyo mtaji tafuta kwingine kama hutaki kuliwa!
Na mtaji wake utakuwa maradufu maana hizo sadaka huwa zinafanyiwa maombi kabla hata ya kutolewa.Sasa jamani nimshauri asiende wakati akili yake 80% inamwambia aende tu!.... Mimi nakazia tu hapo kuzisukuma hizo ishirini zilizobaki aendeeee akachukuwe sadaka za waumini afanye mtaji hakuna namna
Wekeni unafiki pembeni kwenye uzi wake huu,kwa nini wote kasoro mimi,mliochangia mnakua wanafiki,
huyo sio mke wa mtu,hakuna mke bila ya ndoa,mwambieni ukweli huyo ni kimada wa mtu,hata pasta akiomba poa tu..
Hata Tanzania ikipewa mkopo inapewa na masharti, sasa wewe ulitaka usipewe masharti?Nimesoma nae na mm nimemwomba mkopo tena sio kwakumlazimisha kakubali ila kwamasharti
kuzini ni kuzini tyuu chukua iyo ela mpe utam..ila malipo dunian.Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.
Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.
Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
Mmojawapo mimi wazazi wangu, tumezaliwa nane na mimi ndio last born...hawajafunga ndoa kanisani utasema sio mke na mume?Kwa Tz hii watu wengi wanaishi kama mke na mume bila ndoa. Usijidanganye wala kuwadanganya wengine. Tena mijini na hata vijijini watu wengi hawajafunga ndoa ila ni mke na mume na wana familia kubwa na watoto wakubwa tu.
Wengine wanafunga ndoa uzeeni au kuelekea uzeeni, utasemaje siyo mke wa mtu?
Unadhani ikitokea Pastor akafumaniwa au mtu yeyote kwa huyu mwanamke hawatasema kafumwa na mke wa mtu?
Yaani mwanaume anaishi na mwanamke na wamezaa watoto 2 na kila upande wa familia na watu wote wanajua halafu wewe unasema si mke wake?
Amini usiamini huyo mama akitoa papuchi, atakuwa amemsaliti mume wake.
Hamna mkopo usio na masharti isitoshe mbona masharti rahisi rahisi kbsa hayo au ulitaka akupe masharti ya China ( ukishindwa kulipa basi akutwae kutoka kwa mmiliki na kuwa mali yake halali)Nimesoma nae na mm nimemwomba mkopo tena sio kwakumlazimisha kakubali ila kwamasharti
Una maanisha ugegedwe kwa niaba yake na bwana mchungaji??Mpe tu utatubu.au nipe namba yake nikakuchukulie