Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili ni na Mume ila pia si Wandoa japo tunampango wakufunga ndoa.
Nina rafiki yngu ambae ni pasta nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kaniakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi..., yani nimechoka.
Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki.Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
Ni mkopo au ni nn?Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili ni na Mume ila pia si Wandoa japo tunampango wakufunga ndoa.
Nina rafiki yngu ambae ni pasta nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kaniakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi..., yani nimechoka.
Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki.Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
Yakwamba, Asingekua mtumishi wa Mungu, ungempa papuchi ??Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili ni na Mume ila pia si Wandoa japo tunampango wakufunga ndoa.
Nina rafiki yngu ambae ni pasta nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kaniakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi..., yani nimechoka.
Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki.Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
Usinifanyie hivi jamaniAsingekuwa mtumishi ungetoa papuchi!!!.....
Dada we nenda kampe tu papuchi hiyo sababu hata watoto umewapata kwenye uzinzi hakuna la kukwepa hapo..... Labda useme unaogopa dhambi mpya
Usinifanyie hivi jamani
Hahaha hahahahahaha nashauri watumie kinga.... Maana ngoma kama amepata wiki iliyopita akipima leo hana wataambukizana watumie kingaPimeni ngoma........ chukua pesa anza biashara
Naona umeafiki mwenzako akafanyiwe maombi ya papuchi kwa sadaka zetu waumini.Hahaha hahahahahaha nashauri watumie kinga.... Maana ngoma kama amepata wiki iliyopita akipima leo hana wataambukizana watumie kinga
Naona umeafiki mwenzako akafanyiwe maombi ya papuchi kwa sadaka zetu waumini.
Mkuu relaxWekeni unafiki pembeni kwenye uzi wake huu,kwa nini wote kasoro mimi,mliochangia mnakua wanafiki,
huyo sio mke wa mtu,hakuna mke bila ya ndoa,mwambieni ukweli huyo ni kimada wa mtu,hata pasta akiomba poa tu..