Mchumba wangu ni mzuri sana

.....Ila mkuu kuna wanawake ambao wako generally accepted kwamba ni wazuri, mfano wa akina Kim Kardashian au yule mtawala wa Misri - Cleopatra. Ukisimama kukana kwamba si mzuri watu wanaweza kukushangaa mkuu!
si unaona tofauti za watu mi Kim sioni kama mzuri wa kiivyo.
 
Haya mambo ya wanaume kuogopa wanawake wazuri ndio maana wanawake kama kina halley berry hawapati waume, kila dume linakuwa na wasiwasi tu kuibiwa, wakati wasichana hata hawana mawazo ya kuwachiti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom