kengele maziwa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2015
- 424
- 628
Alisafiri?
Kama alisafiri hali ya hewa kwa kusafiri hilo hutokea, mpenzi wangu amewahi kupitia changamoto hizo mara 3
Asubirie tu, japo najua huleta wasiwasiHapana hajasafiri, mkuu wala hana tatizo kiafya
Huyo mkeo una muda gani tangu uanze kuishi naye?Aliwahi kuzaa?Hapana hajasafiri, mkuu wala hana tatizo kiafya
Asubirie tu, japo najua huleta wasiwasi
Huyo mkeo una muda gani tangu uanze kuishi naye?Aliwahi kuzaa?
Mkuu andaa pampas za kutosha na mazaga zaga mengine ya kichanga kijachoKwa maelezo mafupi tu hii inaenda mwezi wa pili ameshindwa kuingia period lakini tumepima mimba mara tatu lakini majibu yanaonesha hana mimba., Je? Inaweza kuwa tatizo gani wajuzi wa mambo.
Msaada wenu wakuu.
Hajawahi kuzaa, nina mwaka mmoja hadi sasa
Mkuu andaa pampas za kutosha na mazaga zaga mengine ya kichanga kijacho
aliwai tumia vidonge au sindano za kublock mimba,
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Nenda kwenye hospitali kubwa akapimwe mfumo wa uzazi na hormones huwa zikizidi ndio inaleta huo mfurugiko.
Kama aliwai tumia basi huenda asipate mimba kwa sasa,Sina uhakika lakini si vibaya ukinipa elimu vizuri ikiwa atakuwa aliwahi kutumia madhara yake yanakuaje .
JINSIA YAKE INAELEKEA KUBADILIKA KIPINDI HIKI CHA UCHUMI WA KATI KUELEKEA UCHAGUZI MKUUKwa maelezo mafupi tu hii inaenda mwezi wa pili ameshindwa kuingia period lakini tumepima mimba mara tatu lakini majibu yanaonesha hana mimba., Je? Inaweza kuwa tatizo gani wajuzi wa mambo.
Msaada wenu wakuu.
Hili tatizo linawakumba wanawake wengi...
Jaribu kujipanga kipesa umpeleke hospitali kubwa na zenye vipimo vya uhakika.
Kama aliwai tumia basi huenda asipate mimba kwa sasa,
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Litaisha tu,Ila haliwezi kuwa tatizo la muda mrefu.