Mchumba wangu ni mwezi wa pili hajaingia period na amepima hana mimba

kengele maziwa

JF-Expert Member
Jun 1, 2015
424
626
Kwa maelezo mafupi tu hii inaenda mwezi wa pili ameshindwa kuingia period lakini tumepima mimba mara tatu lakini majibu yanaonesha hana mimba. Je, Inaweza kuwa tatizo gani wajuzi wa mambo?

Msaada wenu wakuu.
 
Alisafiri?

Kama alisafiri hali ya hewa kwa kusafiri hilo hutokea, mpenzi wangu amewahi kupitia changamoto hizo mara 3.
 
Kwa maelezo mafupi tu hii inaenda mwezi wa pili ameshindwa kuingia period lakini tumepima mimba mara tatu lakini majibu yanaonesha hana mimba., Je? Inaweza kuwa tatizo gani wajuzi wa mambo.
Msaada wenu wakuu.
JINSIA YAKE INAELEKEA KUBADILIKA KIPINDI HIKI CHA UCHUMI WA KATI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom