Mchumba wangu kanisaliti!! Niko kwenye maumivu makali naombeni ushauri

N

Ndakilawe

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Messages
4,676
Likes
2,159
Points
280
N

Ndakilawe

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2011
4,676 2,159 280
Wakubwa zangu shikamooni, vijana wenzangu habari vipi?
Ndugu zangu, nipo serious sanaa katika ombi langu, nakuomba unipe muda wa kunisikiliza kidogo na unishauri kama inafaa.

Mimi ni kijana nina umri wa miaka 29, ni mwajiliwa serikalini idara ya Afya. Kuna binti nilianza nae uchumba 2017 mwanzoni yeye akiwa chuo flan cha afya, Mimi ni Mgogo yeye ni Mbulu ana miaka 24 sasa.

Tulianza mapenzi akiwa ameonesha msimamo wa kutoshiriki tendo lolote na mimi mpaka mwaka mmoja ulipopita ndo tukaanza kukutana kimwili. Ni binti ambae niliona huyu anafaa kuwa mke wangu kabisaa maana alikua ana msimamo sanaa hata kwa watu wengi waliokua wakimtongoza maana alikua ananionesha sms na calls zao, bas nikawa namshauri wajibu wewe ni mke wa mtu na unahitaji heshima, kiukweli nilijipa moyo hapa nimepata mke kweli kweli.

Basi akamaliza chuo 2017 mwishoni nikamtaftia ajira ya kujishikiza mahali flani mkoa wa Mwanza. Sasa nikawa nimeongea na mtu mmoja awe anafatilia nyendo zake wakati mimi nipo mbali.

Alipotimiza miezi miwili kazini nikapata taarifa kuna kabwana mdogo ka umri wa miaka 22 - 24 kanatembea nae hapo hapo alipopanga chumba, sikutaka kuamini, ikanibidi siku moja nifanye kusadiri kwenda kumtembelea kimya kimya bila taarifa, nikafika akanipokea vizuri. Ilipofika usiku nikamwambia sasa mpenzi unaweza kunihakikishia huku huna mchezo wowote mchafu wa kimahusiano? Akanijibu hapana kabisa mpenzi wangu naomba uniamini.

Nikamuuliza, Je, unaweza kunipa simu yako nikague chochote? Akapata kigugumizi sanaaaaa, nikamuuliza Unanipenda na unajiamini? Akajibu ndio, nikamwambia bas naomba simu yako, akapata kigugumizi kizito sanaaa.

Basi ikanibidi nichukue simu yake nipitie sms na whatsap, aseee niliyoyakuta ni mazito mnooooooo wallahi Nimepata simanzi kubwa sanaaa, ikanibidi niondoke usiku huo huo kwenda kutafta Lodge nikalala na kesho nikaondoka kurudi kazini.

Mchumba wangu huyu nilikua nimeshafahamiana na ndugu zake baadhi na mama yake mzazi alikua ananijua kwa picha tu na alikua tayari karidhia niwewe mkwe wake kabla hata sijaenda kujitambulisha maana matendo niliyomfanyia mwane ni mwanaume mwenye malengo mazuri wazi wazi. Kinachoniuma zaidi ni kwamba nimetumia muda mwingi sanaaa kumjenga kiimani, kumjenga juu ya tabia za wanaume wenye tamaa, kiukweli niliamini huyu mwanamke sasa hakuna atakae weza kumshawishi maana hata mimi binafsi nilikua nimebadilika sanaaa kitabia sikuwa nnahamu na michepuko tena niliona sasa huu ni muda wa kutulia na mwanamke mmoja sina haja ya kutanga tanga na dunia ya leo.

Ndugu zangu niko serious sanaaa, naombeni ushauri cha kufanya, mwanamke huyu alikua anatembea na kijana wa mwenye nyumba tena kwa kulala nae chumbani kwake karibu kila wiki.

Mwanamke alionesha sanaaa kunipenda tulikua tunawasiliana kila siku zaidi ya mara 5 kila siku ya Mungu. Leo naona dunia imenigeuka, nina maumivu makali sanaaaa, niliplan nije kumtambulisha kwetu mwaka huu December, na kwao ningeenda kujitambulisha November ili mwakani Mungu akijaalia tufunge Ndoa. Wakuu, niko gizani, nina msongo wa mawazo, mimi ni jasiri sanaaa lakini nakuomba wewe ndugu yangu ushauri wako katika hili, nakuomba usinitukane wala kunikejeli maana utaniongezea majonzi makubwa.

Naamini thread yangu hii itawafunza na wengine watakao kumbwa na mkasa kama wangu.
ASANTE kwa Muda wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mdogo wangu. Short and clear , achana naye kabisa huyu binti. Ni malaya, hata ukimuona, utatafuniwa hapo hapo kwako. Ndivyo wambulu walivyo, labda kama huwajui
 
Tall Guy fam

Tall Guy fam

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2017
Messages
415
Likes
292
Points
80
Tall Guy fam

Tall Guy fam

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2017
415 292 80
Wataalamu wanashauri ujaribu kujiweka busy mfano free time unacheza video games kama mdau, sports etc pia usipende kukaa alone hang out na friends au ndugu, futa namba picha ondoa kitu chochote kitakachokufanta umkumbuke ukikiona. Jambo la kumshukuru Mungu ni umemgundua mapema kabla hujamuoa achana naye hakufai. It will get better in time mkuu kila la heri mkuu.
 
Clkey

Clkey

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2014
Messages
4,556
Likes
11,028
Points
280
Clkey

Clkey

JF-Expert Member
Joined May 29, 2014
4,556 11,028 280
Dawa ya moto ni moto kama vp na ww msaliti tu hahahah utani bwana
 
kwamtoro

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Messages
4,858
Likes
860
Points
280
kwamtoro

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2010
4,858 860 280
Hivi kuna wanawake wanapenda kundinywa Kama wambulu, hawajuagi kukataa. Wapo silent killer.
Na nyinyi wagogo toka lini mkawa husband material???
 
Francis12

Francis12

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Messages
7,166
Likes
20,198
Points
280
Francis12

Francis12

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2016
7,166 20,198 280
Wewe ulikosa kazi mpaka uanze kumfutilia mchumba pole sana kama utaendelee hivyo huwezi kudumu katika mahusiano
 
baba swalehe

baba swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
8,215
Likes
10,008
Points
280
baba swalehe

baba swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
8,215 10,008 280
Pole sana ila kuna kosa moja kubwa sana ulifanya... Kosa la kupekua simu yake bila ridhaa yake kwa asilimia mia moja.... Ni vema usitafute matatizo bali yaache matatizo yaje yenyewe.... Hakuwa na jinsi ya kukukatalia na hakupenda ugomvi.. Huyo kwangu bado ni mwanamke bora
Kosa la pili ulilofanya ni kuondoka bila kumpa nafasi ya kujieleza.... Haya mambo yapo, hasa mnapokuwa mbali mbali... Kuna ngono na kuna mapenzi... Si kila tunaolala nao tuna mapenzi nao, sometimes ni situation tu.....
Huwezi kujua alikuwa anapitia maisha gani, furaha zake, huzuni zake changamoto zake, upweke, stress nk...
You still have the chance to make it again... We are all not perfect, sisi si wakamilifu, tuna mapungufu ya kila aina... Amekosea sawa lakini kumuacha kuna maumivu mengi kuliko ku reconsile....
Kakosea hii ni mara ya kwanza you still have chances... Mrudie kwa upendo mlitengeneze hili anaweza kuja kuwa mwanamke bora kama ulivyokwisha kusema mwenyewe... Mpe nafasi ya kujutia alivyofanya lakini bila manyanayaso, bila kebehi bila matusi.... Safari ya mapenzi, mahusiano mpaka ndoa huwa ni ndefu na changamoto ni nyingi... Ichukulie hii kama changamoto, ameteleza hajaanguka, mshike mkono msonge mbele
Una shock ya kile ulichokiona... It happens! Chukua muda kutafakari jinsi ulivyowekeza kwake... Tukio hili lisizime ndoto yenu kubwa... Ndoa ni zaidi ya ngono
Usijiumize usijitese! Kama yuko tayari kujutia na kutengeneza... Fanyeni hivyo sasa... Utaokoa maumivu mengi

Jr
Mbona we hujarudiana na chamdeko !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
G.T.L

G.T.L

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Messages
337
Likes
192
Points
60
G.T.L

G.T.L

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2012
337 192 60
Wataalamu wanashauri ujaribu kujiweka busy mfano free time unacheza video games kama mdau, sports etc pia usipende kukaa alone hang out na friends au ndugu, futa namba picha ondoa kitu chochote kitakachokufanta umkumbuke ukikiona. Jambo la kumshukuru Mungu ni umemgundua mapema kabla hujamuoa achana naye hakufai. It will get better in time mkuu kila la heri mkuu.
Nashukuru mkuu kwa ushauri mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jokajeusi

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Messages
3,176
Likes
3,219
Points
280
Jokajeusi

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2018
3,176 3,219 280
Duh..!
Bikra ndo iwe kipimo cha usaliti ama uaminifu...sidhani!
Ndivyo ilivyo mkuu. Nenda Bar alafu upewe Bia iliyofunguliwa alafu uone kama utaamini kama haikutiwa mdomo.
 
Jokajeusi

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Messages
3,176
Likes
3,219
Points
280
Jokajeusi

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2018
3,176 3,219 280
Kama ulimkuta bikra halafu akakusaliti Hapo inakuaje mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kumkaripia lakini ukamsamehe kwa maana unauhakika ni mara yake ya kwanza kuteleza. Lakini Uliyemkuta hana bikra hana utetezi kwa maana ulikuta njia nyeupe na huenda ndio tabia yake
 
Tall Guy fam

Tall Guy fam

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2017
Messages
415
Likes
292
Points
80
Tall Guy fam

Tall Guy fam

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2017
415 292 80
Nashukuru mkuu kwa ushauri mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi pia nilipitia breakup kwahiyo naelewa unavyojisikia baada ya muda mambo yatakua poa. Hata kwa kuweza kuja hapa na kushare story yako na kuomba ushauri tayari you're in the right track. In my experience kuupokea ni rahisi ila kuufata ni ngumu mno. So try your best.
 
OZILY

OZILY

Senior Member
Joined
Dec 29, 2013
Messages
155
Likes
5
Points
35
OZILY

OZILY

Senior Member
Joined Dec 29, 2013
155 5 35
Pole sana kijana haya yote yanatokea kwenye maisha ya kimahusiano mara kwa mara, hivyo nakushauri ukubaliana na matokeo,alafu lisamehe na lisahau bila kujutia lolote.
Sema na moyo wako jiambie wewe ni rijali mtanashati unaejitambua na mapenzi unayajua, no time for regret.
Si ulishawahi kudet na wanawake huko nyuma, si ulishasahau? Huyu pia msahau usijilaumu ona kama vile shati lako jeupe limechafuka tafuta sabuni nzuri lifue linyooshe livae tena kisha songa mbele bila ya majuto.
"Sometimes you win, sometimes you learn"
Wakubwa zangu shikamooni, vijana wenzangu habari vipi?
Ndugu zangu, nipo serious sanaa katika ombi langu, nakuomba unipe muda wa kunisikiliza kidogo na unishauri kama inafaa.

Mimi ni kijana nina umri wa miaka 29, ni mwajiliwa serikalini idara ya Afya. Kuna binti nilianza nae uchumba 2017 mwanzoni yeye akiwa chuo flan cha afya, Mimi ni Mgogo yeye ni Mbulu ana miaka 24 sasa.

Tulianza mapenzi akiwa ameonesha msimamo wa kutoshiriki tendo lolote na mimi mpaka mwaka mmoja ulipopita ndo tukaanza kukutana kimwili. Ni binti ambae niliona huyu anafaa kuwa mke wangu kabisaa maana alikua ana msimamo sanaa hata kwa watu wengi waliokua wakimtongoza maana alikua ananionesha sms na calls zao, bas nikawa namshauri wajibu wewe ni mke wa mtu na unahitaji heshima, kiukweli nilijipa moyo hapa nimepata mke kweli kweli.

Basi akamaliza chuo 2017 mwishoni nikamtaftia ajira ya kujishikiza mahali flani mkoa wa Mwanza. Sasa nikawa nimeongea na mtu mmoja awe anafatilia nyendo zake wakati mimi nipo mbali.

Alipotimiza miezi miwili kazini nikapata taarifa kuna kabwana mdogo ka umri wa miaka 22 - 24 kanatembea nae hapo hapo alipopanga chumba, sikutaka kuamini, ikanibidi siku moja nifanye kusadiri kwenda kumtembelea kimya kimya bila taarifa, nikafika akanipokea vizuri. Ilipofika usiku nikamwambia sasa mpenzi unaweza kunihakikishia huku huna mchezo wowote mchafu wa kimahusiano? Akanijibu hapana kabisa mpenzi wangu naomba uniamini.

Nikamuuliza, Je, unaweza kunipa simu yako nikague chochote? Akapata kigugumizi sanaaaaa, nikamuuliza Unanipenda na unajiamini? Akajibu ndio, nikamwambia bas naomba simu yako, akapata kigugumizi kizito sanaaa.

Basi ikanibidi nichukue simu yake nipitie sms na whatsap, aseee niliyoyakuta ni mazito mnooooooo wallahi Nimepata simanzi kubwa sanaaa, ikanibidi niondoke usiku huo huo kwenda kutafta Lodge nikalala na kesho nikaondoka kurudi kazini.

Mchumba wangu huyu nilikua nimeshafahamiana na ndugu zake baadhi na mama yake mzazi alikua ananijua kwa picha tu na alikua tayari karidhia niwewe mkwe wake kabla hata sijaenda kujitambulisha maana matendo niliyomfanyia mwane ni mwanaume mwenye malengo mazuri wazi wazi. Kinachoniuma zaidi ni kwamba nimetumia muda mwingi sanaaa kumjenga kiimani, kumjenga juu ya tabia za wanaume wenye tamaa, kiukweli niliamini huyu mwanamke sasa hakuna atakae weza kumshawishi maana hata mimi binafsi nilikua nimebadilika sanaaa kitabia sikuwa nnahamu na michepuko tena niliona sasa huu ni muda wa kutulia na mwanamke mmoja sina haja ya kutanga tanga na dunia ya leo.

Ndugu zangu niko serious sanaaa, naombeni ushauri cha kufanya, mwanamke huyu alikua anatembea na kijana wa mwenye nyumba tena kwa kulala nae chumbani kwake karibu kila wiki.

Mwanamke alionesha sanaaa kunipenda tulikua tunawasiliana kila siku zaidi ya mara 5 kila siku ya Mungu. Leo naona dunia imenigeuka, nina maumivu makali sanaaaa, niliplan nije kumtambulisha kwetu mwaka huu December, na kwao ningeenda kujitambulisha November ili mwakani Mungu akijaalia tufunge Ndoa. Wakuu, niko gizani, nina msongo wa mawazo, mimi ni jasiri sanaaa lakini nakuomba wewe ndugu yangu ushauri wako katika hili, nakuomba usinitukane wala kunikejeli maana utaniongezea majonzi makubwa.

Naamini thread yangu hii itawafunza na wengine watakao kumbwa na mkasa kama wangu.
ASANTE kwa Muda wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

M345

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
330
Likes
121
Points
60
Age
24
M

M345

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
330 121 60
Wagogo inaonekana wako weak saana ,sasa kama umejionea mwenyewe una prove mkeo mtaarajiwa co mwaminifu unataka nn tena ,anza upya hakuna cjui umbali cjui hisia anza upyaaaa
 
Chrisvern

Chrisvern

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Messages
1,468
Likes
1,007
Points
280
Chrisvern

Chrisvern

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2011
1,468 1,007 280
Unajua ni vizuri kufahamu kwanini mwenzako amekupenda japo ni ngumu sana. Nilichogundua huyo bibie ulikuwa unamtimizia mahitaji ya kifedha zaidi kuliko ya kimapenzi ndio maana alipopata hyo kazi akaona huna umuhimu kwa kiasi kubwa km zamani so akapata mtaalam wa kukata kiu yake ya kimapenzi. Anyway achana naye huyo vumilia tu yatapita. But next time ukipata mtu mwingine usirudie kosa. HAKIKISHA UNAKATA KIU KWELI KWELI!
Download playlist moja ya reggae inaitwa Lovers Reggae rhythm 2014 uuguze machungu vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo demu alikuwa analipa fadhila kwa huduma za jamaa, hakuna mapenzi hapo.
 
W

wambinguni

Member
Joined
Jul 9, 2017
Messages
41
Likes
13
Points
15
W

wambinguni

Member
Joined Jul 9, 2017
41 13 15
Yalinitokea na mimi Kama yako nikamsubiri arudi likizo nikaenda nae gest nikamla tigo kimenomeno mpk akakata gogo huku nikimchukua move kitaalam nikamsendia hyo jamaa ake alaf nikamtemesha cm na mazaga kibao yanayompa jeuri kule kaachwa na kila mtu kaona video chuo kimekua balaa kwake nimemsaidia mengi lkn hawa viumbe hawana jema waliwashind hadi manabii wakabaki kusema tuishi nao kwa akili
 
blance86

blance86

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
964
Likes
1,704
Points
180
Age
39
blance86

blance86

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
964 1,704 180
Yalinitokea na mimi Kama yako nikamsubiri arudi likizo nikaenda nae gest nikamla tigo kimenomeno mpk akakata gogo huku nikimchukua move kitaalam nikamsendia hyo jamaa ake alaf nikamtemesha cm na mazaga kibao yanayompa jeuri kule kaachwa na kila mtu kaona video chuo kimekua balaa kwake nimemsaidia mengi lkn hawa viumbe hawana jema waliwashind hadi manabii wakabaki kusema tuishi nao kwa akili
Hapo ukajiona ww kidume mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,274,206
Members 490,608
Posts 30,504,503