Duh fanya ku summarize
Umemtesa sana huyo mwanamke. Kwahiyo ulikuaga unafanya mashindano ili mwishoni ushinde?
Hebu fikiria, vaa viatu vyake, kumbuka ile miaka tisa na mambo yote uliyomfanyia pamoja na mashindano, halafu fikiria ingekua ni yeye kakufanyia hivyo kwa miaka tisa ingekuaje?
Una mwanamke mvumilivu sana hahahahahhahha. Wapo wachache hao
kumbe wadigo ndio walivyo eeehee
Mwanaume ndo huwa anambadilisha mwanamke kwa hizo tabia zako za kuchepuka ndo maan kawa hivyo sasa ulikuwa unachepuka nn wakat umeshamweka kweny malengo???????mshika mawili mmoja humponyoka
Usinifanyie hivyo
mkuu tatizo sio mimi kabisa...tatizo ni hili kabila langu huwa kila nikijitaidi kuwa romantic nashindwa kabisa
Kaoe mtu wa kabila lako basi atakayekuelewa hajui kuwa romantic. Acha kumtesa mtoto wa watu miaka tisa yote hiyo kidume ndo wewe. Huyo mchumba wako itakuwa ana mwanaume mwingine anayembembeleza na anatembea nae sasa hawezi kutembea na wanaume wawili kwa mpigo ndo maana anatoa visingizio. Usipoangalia ataolewa wewe ukiwa bado unaandika barua ya posa!
Muoe tu hadi mimba zako alishatoa? Anaaendaje kuanza upyahayo mambo mengine ni ya ndani zaidi mkuu...ila kwa kifupi kachoropoa mimba 3...ya kwanza akiwa form 3
Muoe tu hadi mimba zako alishatoa? Anaaendaje kuanza upyahayo mambo mengine ni ya ndani zaidi mkuu...ila kwa kifupi kachoropoa mimba 3...ya kwanza akiwa form 3