Mchumba wangu anakiburi, simuelewi

Mchumba wangu anakiburi, simuelewi

Kiburi ni kiburi tu hata kiwe cha aina gani. Kabla ya kudeal na mwenye kiburi unatakiwa kufanya kautafiti kwanza kujua kiburi chake kinatokana na nini? Habari ya kumuacha mwanamke eti ana kiburi ni matumizi mabaya ya rasimali wanawake
Teh teh teh........"Habari ya kumuacha ni matumizi mabaya ya rasilimali wanawake". Isee!
 
kazi unayo mkuu ni mauzi tuu magumu yanatakiwa,coz jiulize tuu leo hii uchumba yupo hivyo ukimmilikisha kwa ndoa itakuwaje??si atakufanyia baya zaidi???
 
Yaan kama wakwangu hivyoivyo naninamiaka nae mitatu kama wewe, nahapa nilipo tumepeana kibuti jana, ila kiukwel nampenda naananijulia yale mambo yetu! Ila tatizo lake nikiburi naanaongeaongea sana inshu ndogo2 atabwatuka sana naugomvi juu, sasa toka jana nimemwambia me nawewe bac nayeye amekubali ila hii kupeana kibuti sio Mara yakwanza huwa baada yacku mbili kupita nilazima aje aniombe msamaha namimi huwa namsamehe kwasababu huwa namuhitaj hata hapa naomba aje aniombe msamaha
 
Habari za leo ndugu zangu wana JF,

Naombeni ushauri wenu kwa hili linalonikumba,

Mimi ni kijana /mwanaume nina mchumba kwa mda wa miaka 3 sasa lakini huyo mchumba wangu simwelewi, kwanza ana kiburi na kingine hapendi kunisikiliza mimi nikimwambia chochote yeye anaona kama namnyanyasa.

Ingawa anaonesha ana mapenzi ya dhati kwangu lakini wakati mwingne anafikia hatua ananitukana hadi matusi, nikitaka kumwacha yeye ndo wa kwanza kupiga simu kuniomba msamaha kuwa turudiane na mimi nakuwa na huruma namsamehe

Naombeni ushauri wenu huyu mwanamke anafaa kuwa mke wangu kweli au niachane nae maana anaweza niletea shida kwenye maisha yangu.
Kama unampenda na yeye anakupenda, mwambie aache kiburi muende sawa
 
Habari za leo ndugu zangu wana JF,

Naombeni ushauri wenu kwa hili linalonikumba,

Mimi ni kijana /mwanaume nina mchumba kwa mda wa miaka 3 sasa lakini huyo mchumba wangu simwelewi, kwanza ana kiburi na kingine hapendi kunisikiliza mimi nikimwambia chochote yeye anaona kama namnyanyasa.

Ingawa anaonesha ana mapenzi ya dhati kwangu lakini wakati mwingne anafikia hatua ananitukana hadi matusi, nikitaka kumwacha yeye ndo wa kwanza kupiga simu kuniomba msamaha kuwa turudiane na mimi nakuwa na huruma namsamehe

Naombeni ushauri wenu huyu mwanamke anafaa kuwa mke wangu kweli au niachane nae maana anaweza niletea shida kwenye maisha yangu.
Kuna kitu anakosa kwako mkuu. Halafu nje anapewa na mtu mwingine. Fuatilia njia za mpenz wako.....
 
Hapa naweza kusema huyo demu anafaa sana kuolewa na wewe. Nitaeleza:
Kwanza ana mapenzi ya dhati kwako, ndiyo maana mkigombana anakuwa wa kwanza "kukuangukia". Pili, hata ukimuweka ndani mwako hatakusumbua,kwa sababu mtakuwa mnafahamiana tabia.
Kuliko wachumba wengi, linapofika suala la kuolewa hufanya wawezavyo kuficha tabia zao ovu.
Mkishaoana,ndiyo tabia za ajabuajabu zinaanza kufumuka! Hali hiyo imepelekea ndoa nyingi kusambaratika muda mfupi baada ya kufungwa.
Asikwambie mtu, jichange uoe huyo demu, atakufaa. Tatizo lake mchumbaako ni dogo sana, anarekebishika. Hakuna ndoa isiyokuwa na vikwazo vyake.
Inawezekana hapo ndio kaficha makucha mkuu, sasa akijakuyaachia je?
 
Habari za leo ndugu zangu wana JF,

Naombeni ushauri wenu kwa hili linalonikumba,

Mimi ni kijana /mwanaume nina mchumba kwa mda wa miaka 3 sasa lakini huyo mchumba wangu simwelewi, kwanza ana kiburi na kingine hapendi kunisikiliza mimi nikimwambia chochote yeye anaona kama namnyanyasa.

Ingawa anaonesha ana mapenzi ya dhati kwangu lakini wakati mwingne anafikia hatua ananitukana hadi matusi, nikitaka kumwacha yeye ndo wa kwanza kupiga simu kuniomba msamaha kuwa turudiane na mimi nakuwa na huruma namsamehe

Naombeni ushauri wenu huyu mwanamke anafaa kuwa mke wangu kweli au niachane nae maana anaweza niletea shida kwenye maisha yangu.
Robot za mambo yetu yale zinakuja watanyooka tu [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Piga chini kama kuna kitu kikubwa nimejifunza ni kwamba people dont change mkuu, si baada ya ndoa si baada ya nin, je upo tayari kuishi maisha yako yote na mtu wa hivyo?
Aisee kweli watu awabadililiki labda tu Mungu aingilie, nime experience Sana Hii kitu
 
9 outta 10 ukitukanwa na mwanamke yeyote yule, mpenzi ama sio, ni makosa yako.


Whatever the case..siku huyo mwanamke ananitukana ahakikishe ana mpango wa kando wa kwenda kwake.

All my life sijawahi kumtukana mwanamke hata awe amenikosea nini...I will never let that be on me!

- matusi
- kupigana na mwanamke...I will never stoop this low in my life!!!!!
 
Angalia wallet yako kwanza kabla ya kufanya maamuzi Na sio kitendo cha yeye kukuomba msamaha pale anapokukosea.mapenzi Ni kingamuzi Na pesa ndo digitali
 
Habari za leo ndugu zangu wana JF,

Naombeni ushauri wenu kwa hili linalonikumba,

Mimi ni kijana /mwanaume nina mchumba kwa mda wa miaka 3 sasa lakini huyo mchumba wangu simwelewi, kwanza ana kiburi na kingine hapendi kunisikiliza mimi nikimwambia chochote yeye anaona kama namnyanyasa.

Ingawa anaonesha ana mapenzi ya dhati kwangu lakini wakati mwingne anafikia hatua ananitukana hadi matusi, nikitaka kumwacha yeye ndo wa kwanza kupiga simu kuniomba msamaha kuwa turudiane na mimi nakuwa na huruma namsamehe

Naombeni ushauri wenu huyu mwanamke anafaa kuwa mke wangu kweli au niachane nae maana anaweza niletea shida kwenye maisha yangu.
MAWINGU NI DALILI YA MVUA
 
Wakurya hatupo hivyo plz[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wee mpo hivyo kuna mmoja rafiki yangu ana mdate anasema demu haeleweki wakiwa wote fresh ila wakiachana tu ni kama hawajuani
 
Back
Top Bottom