mizarb
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,402
- 1,290
Asikwambie mtu, jichange uoe huyo demu, atakufaa. Tatizo lake mchumbaako ni dogo sana, anarekebishika. Hakuna ndoa isiyokuwa na vikwazo vyake.
Hili ndo kosa kubwa kabisa wanaume huwa tunakosea na ndo linalogharimu ndoa nyingi.
Kama mchumba wako ana mapungufu usiwaze kumrekebisha maana ni moja ya kazi ngumu sana, na wengi wanaposhindwa kurekebisha kama walivyotegemea ndo matatizo yanapoanzia. Kinachotakiwa ni kuikubali weakness na kuvumilia na kama atajirekebisha basi itokee kwa mapenzi yake mhusika.