Mchumba wangu anakataa nishike simu yake

Mchumba wangu anakataa nishike simu yake

kwa jinsi nilivo soma bandiko lako in details analysis nimegundua huyo mwanamke Ana moyo mkubwa kama bado Ana reply text message zako

u need time to learn how to become masculinity
 
Kuna Mwanamke nipo nae kwenye mausiano ya kimapenz ila nais anipendi asaiv ila zamani alikua ananipenda sana Zamani alikua ananipenda sana ila asaiv anipendi ata kidogo
Kunitafuta ananitafuta ila hana stor nyingi Kama zamani
Hataki kuchat Sana na hataki kuongea Sana na mimi

Na nilikua naenda Sana kweke ila asaiv kaniambia nisiende kwake anaona aibu majirani zake
Matumizi nampa na Kodi alikua analipa baba yake ila na asaiv kahanza kulipa yeye ila nilimchangia kidogo
Nafanya nae kazi kampuni moja
Na kipindi Cha nyuma alikua ananipenda sana na alikua ananiitaji mda wote niende kwake ila asaiv hataki kabisa
Tumsheuri mwamba
Kwa mwandiko huu bora akuache tu
 
analilia kwenda chumba cha mwanamke ambacho humlipii kodi??? unachanga kidogoo kikubwa kilichobaki katoa mwanaume mwenziooo.....simu yake uishikee ili ugundue nini??? huna kazi za kufanyaa
 
Kwa hii nchi yetu sio ajabu ukakuta haka kajamaa ni manager kabisa wa kampuni au idara flani
Nasema hivi maana kuna mdingi mmoja ni manager wa idara flani alikuwaga anamfukuzia demu mmoja hapa kitaa ambaye huwa namla
Sasa siku moja nikawa namrekebishia kitu binti kwenye simu yake nikazama uwanja wa text nikakutana na sms za watu tofauti ila kilichonivutia ni sms za mtu mwenye mwandiko mbovu kama huo ikabidi nimuulize demu(maana huwa hanifichi kitu) akanambia huyo ni mzee Hamis manager wa kampuni flani(akaitaja) yaani tulibaki kucheka tu
Mwandiko hauna mpangilio yaani unaweza usielewe kitu mfano kuna sms aliandika "Wee biti unajwa a mi nkuelewaa san niikoota yari kuku owa"
 
Jamii Forums anzisheni jukwaaa la watoto Forums post kama hizi ziende huko
 
Kuna Mwanamke nipo nae kwenye mausiano ya kimapenz ila nais anipendi asaiv ila zamani alikua ananipenda sana Zamani alikua ananipenda sana ila asaiv anipendi ata kidogo
Kunitafuta ananitafuta ila hana stor nyingi Kama zamani
Hataki kuchat Sana na hataki kuongea Sana na mimi

Na nilikua naenda Sana kweke ila asaiv kaniambia nisiende kwake anaona aibu majirani zake
Matumizi nampa na Kodi alikua analipa baba yake ila na asaiv kahanza kulipa yeye ila nilimchangia kidogo
Nafanya nae kazi kampuni moja
Na kipindi Cha nyuma alikua ananipenda sana na alikua ananiitaji mda wote niende kwake ila asaiv hataki kabisa
Tumsheuri mwamba
Una uhakika ni MCHUMBA wako?
 
Back
Top Bottom