Mchumba wangu ana matatizo ya kutoa vitu vyeupe kama maziwa ya mgando sehemu za siri

kilama

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
2,738
1,976
Wadau habarini za usiku.

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza mchumba wangu amepatwa na hilo tatizo na tumejaribu Kuwaona wataalam wamempatia dawa lakini tatizo bado na si mara ya kwanza kuonana na wataalam lakini hali bado na ametoka kumaliza dozi ya fangasi lakini hali bado, hivyo naombeni msaada wenu ndugu zangu.
 
Yeah hasa wakati wa kujamiana na dawa aliyotumia aliambiwa atakapozianza asijamiane na tumeteleza hilo lakini tatizo bado na pia anajisikiaga muwasho hayo maeneo ya siri.
 
Hao ni fangasi,tiba zipo muone daktari kuna vidonge utapewa utaingiza kwenye uke,hali ikizidi italeta tatizo la U. T. I SUGU, na wakati wa kukutana kimwili pia mwanaume ni rahisi kabisa utambukizwa U. T. I
 
Kuna uwezekano mkubwa mchumba wako akawa na Bacterial Vaginosis.

Mtu mwenye chlamydia infections hutoa uchafu wa kijivu na harufu mbaya kama ya samaki na hutokea zaidi baada ya tendo la ndoa

Nenda hospitali kubwa anahitaji kupimwa ili kujua exactly aina ipi ya vaginitis inamsumbua sababu huenda sio fangasi ni protozoan vaginosis .Lakini pia huenda anahitaji antifungals strong kuliko anazopewa na pia azingatie usafi kwa kuvaa chupi safi,kavu na za pamba
 
Asanteni sana wandugu kwa angalau nimepata pa kuanzia..!!!
 
Wadau habarini za usiku.
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza mchumba wangu amepatwa na hilo tatizo na tumejaribu Kuwaona wataalam wamempatia dawa lakini tatizo bado na si mara ya kwanza kuonana na wataalam lakini hali bado na ametoka kumaliza dozi ya fangasi lakini hali bado, hivyo naombeni msaada wenu ndugu Zangu.
Mkuu pole sana kwa tatizo linalomsumbua mpenzi wako....... Nenda kwenye duka la dawa hasa haya makubwa nunua dawa inaitwa FLUCONAZOLE inauzwa buku kidonge kimoja ila inaweza ikawa imepanda pia. Nunua vidonge 6 au 8 na kila kibox kina kidonge kimoja. Mpe mpenzi wako mwambie anywe kidonge kimoja kila wiki na achangue siku 1 katika wiki ambayo ndio atakuwa anakunywa hiyo dawa na anywe dozi mpaka amalize. Atakapokunywa dawa hii kuna dalili za kujisikia vibaya atakuwa anazipata asijali ni jambo la kawaida asiogope bali ajitahidi tuu kunywa maji mengi na kula chakula cha kutosha.
 
Mkuu pole sana kwa tatizo linalomsumbua mpenzi wako....... Nemba kwenye duka la dawa hasa haya makubwa nunua dawa inaitwa FLUCONAZOLE inauzwa buku kidonge kimoja ila inaweza ikawa imepanda pia. nunua vidonge 6 au 8 na kila kibox kina kidonge kimoja. Mpe mpenzi wako mwambie anywe kidonge kimoja kila wiki na achangue siku 1 ktk wiki ambayo ndio atakuwa anakunywa hiyo dawa na anywe dozi mpaka amalize. Atakapokunywa dawa hii kuna dalili za kujisikia vibaya atakuwa anazipata asijali ni jambo la kawaida asiogope bali ajitahidi tuu kunywa maji mengi na kula chakula cha kutosha.

Kwanini unadhani ni candidiasis?

Kwanini.
 
Kwanini unadhani ni candidiasis?

Kwanini.
Nilisumbuliwa na hilo tatizo mkuu fo almost miaka 3 yaani ilikuwa ni kero...... nilipimwa kila kipimo kwenye hospitali kubwa zote dar lakini niliishia kunywa midawa tuu ambayo ilinijazia sumu mwilini na mwishoe rafiki yangu ambaye ni mzungu ndo akaniambia nitumie hizo dawa na huu ni mwaka wangu wa 2 sasa hilo tatizo limekuwa historia hata kuwashwa siwashwi.... Niliathirika mpk kwenye kizazi kwa sababu ya hilo tatizo na kwa sasa nafurahia maisha
 
Kwanini unadhani ni candidiasis?

Kwanini.
Huu ni ushauri kutokana na experience niliyopitia mimi pamoja na watu ambao niliwashirikisha kutumia hizi dawa na wamepona.....Akiona inafaaa na yeye pia anaweza akatumia na kujionea matokeo yeye mwenyewe
 
Huu ni ushauri kutokana na experience niliyopitia mimi pamoja na watu ambao niliwashirikisha kutumia hizi dawa na wamepona.....Akiona inafaaa na yeye pia anaweza akatumia na kujionea matokeo yeye mwenyewe
Hii dawa nilijikuta nimeinunua kwa makosa baada ya kumtuma Dogo pharmacy kukosea jina la dawa niliyomtuma

Ninazo kama vibox sita kwenye shelf yangu ya Dawa najiuliza sijui nani hatakuja kuzitumia.
 
fangasi hao mkuu azingatie usafi wa maeneo yake na pia inashauriwa anapomaliza hizo dozi za fangasi msiingiliane kwa muda
 
Wadau habarini za usiku.
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza mchumba wangu amepatwa na hilo tatizo na tumejaribu Kuwaona wataalam wamempatia dawa lakini tatizo bado na si mara ya kwanza kuonana na wataalam lakini hali bado na ametoka kumaliza dozi ya fangasi lakini hali bado, hivyo naombeni msaada wenu ndugu Zangu.
atakuwa na UTI Sugu, akapime wampe Sindano za Masaa...hasa kama anatumia vyoo vya mchanganyiko au anakuchanganya wewe na mwingine.
 
asanteni sana kwa michango yenu na ninajifunia kupata watu wa kutoa ushauri katika mtandao wa jamii forum..!!!
 
miss zomboko ulijuaje kama uliathirika hadi kwenye kizazi? ulipima kipindi unaugua hilo tatizo?
 
Back
Top Bottom