simbamzeewamwakidila
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 1,447
- 379
Nina girlfriend nipo naye kwa miaka Tisa sasa. Nampenda ananipenda. Namuhudumia vzuri tu. Zamani hakuwa na tabia za kukopa vitu na kubaki na madeni. Ila sasa imekuwa balaa. Nilipoingia kwenya ajira nilianzia kazi ofisi zetu za Arusha yeye akabaki Dar na hapo ndipo alipobadili tabia ambayo hakuwa nayo mwanzo. Japo nilikiwa mbali hakuna kilichobadilika kwa kumjali kwa matumizi yake. Ila sijui tabia ya kukopa kaitoa wapi Na nilishamkataza na nikamuambia akiwa na shida ruksa kuniambia na analijua hilo. Ila anapenda tu kukopa. Baadae nikahamia kikazi kurudi mjini DSM. Yaani kila njia tukipita japo ni ndani ya gari ataniambia hapa tusipite na tukipita usishushe kioo flani ataniaona. Nikimtaiti anasema ananidai nilikopa wigi. Hii tabia inanishinda sasa. Anadaiwa had kwenye vibanda vya baga. Saluni nyingi haendi ameacha madeni. Maduka zaidi ya sita maeneo ya kwao mikocheni anadaiwa. Wanafunzi aliomaliza nao udsm mwaka huu karibia mashosti wake wote wanamdai. Nishafanya juhudi zote kumkataza na kuyalipia madeni yake ila anarudia na anakopa tena. NIFANYEJE?
Mkuu uchaguzi ulishaisha na si busara now kumjua nan fisadi nan malaika. Wote tulipishana itikadi lakini lengo letu wote lilikuwa kumpata rais wetu na tumempata na ndio maana hujaona nikipost kumpinga magufuli baada ya matokeo. T ujenge nchi tuache hizo tofauyi ambazo bado unazo kichwan nafkiri bado unadhan uchaguz unaendelea. Tumuombee rais afanikiwe katika malengo ambayo wananchi ametuonesha na kutupa moyo kuwa inawezekana.
Mwambie aache tamaa, wenzke wankopa na kufanya project za maendeleo hata kama ni ndogo, kweli kusoma si kuelimika; graduate anakopa wigi, saloon...; ndugu yangu usu intertain upuuzi huo.Nina girlfriend nipo naye kwa miaka Tisa sasa. Nampenda ananipenda. Namuhudumia vzuri tu. Zamani hakuwa na tabia za kukopa vitu na kubaki na madeni. Ila sasa imekuwa balaa. Nilipoingia kwenya ajira nilianzia kazi ofisi zetu za Arusha yeye akabaki Dar na hapo ndipo alipobadili tabia ambayo hakuwa nayo mwanzo. Japo nilikiwa mbali hakuna kilichobadilika kwa kumjali kwa matumizi yake. Ila sijui tabia ya kukopa kaitoa wapi Na nilishamkataza na nikamuambia akiwa na shida ruksa kuniambia na analijua hilo. Ila anapenda tu kukopa. Baadae nikahamia kikazi kurudi mjini DSM. Yaani kila njia tukipita japo ni ndani ya gari ataniambia hapa tusipite na tukipita usishushe kioo flani ataniaona. Nikimtaiti anasema ananidai nilikopa wigi. Hii tabia inanishinda sasa. Anadaiwa had kwenye vibanda vya baga. Saluni nyingi haendi ameacha madeni. Maduka zaidi ya sita maeneo ya kwao mikocheni anadaiwa. Wanafunzi aliomaliza nao udsm mwaka huu karibia mashosti wake wote wanamdai. Nishafanya juhudi zote kumkataza na kuyalipia madeni yake ila anarudia na anakopa tena. NIFANYEJE?
Duh, huyu naye kiboko kama wewe tu mkuu, uchumba miaka tisaaaaaa!!! hivi mnaogopa nini kuoa mkuu sumbai? tujuzeni na bro mkubwa Eli79 tunaweza kuwapa ushauri
cc Heaven Sent njoo uone huku uchumba sugu mwingine
Duh, huyu naye kiboko kama wewe tu mkuu, uchumba miaka tisaaaaaa!!! hivi mnaogopa nini kuoa mkuu sumbai? tujuzeni na bro mkubwa Eli79 tunaweza kuwapa ushauri
cc Heaven Sent njoo uone huku uchumba sugu mwingine
Ha haaaa haaa...sasa kakaa mimi nipo uchumbani mwaka wa 3 na sitarajii kumuoa leo wala baada ya miaka miwili
Alafu unanihoji hoji..kumbe kuna watu yani uchumba ni nearly awamu nzima ya urais. Daaaah
My dada Heaven Sent kuna tatizo hapo!!? Wakat wengine paka miaka tisa!!!!!!
Aaah labda binti haoni kama tatizo, muache aendelee tu na mahaba yake
Ha haaaa haaa...sasa kakaa mimi nipo uchumbani mwaka wa 3 na sitarajii kumuoa leo wala baada ya miaka miwili
Alafu unanihoji hoji..kumbe kuna watu yani uchumba ni nearly awamu nzima ya urais. Daaaah
My dada Heaven Sent kuna tatizo hapo!!? Wakat wengine paka miaka tisa!!!!!!
Aaah labda binti haoni kama tatizo, muache aendelee tu na mahaba yake
Mbona Jamaa kasema ni girlfriend, na sio mchumba? Au ni kitu kimoja? Kila nikisoma comments naona mchumba mchumba.
Ukute walianza mahusiano wakiwa bado watoto. 13/14 years old.
anakukomesha huyo..wewe kukaa unamuita mchumba miaka tisa unadhan ni sawa ?kafungeni ndoa huko...nina girlfriend nipo naye kwa miaka tisa sasa. Nimeanza naye mahusiano akiwa na miaka 19. Nampenda na ananipenda. Namuhudumia vzuri tu. Na tayari nimemchumbia. Zamani hakuwa na tabia za kukopa vitu na kubaki na madeni. Ila sasa imekuwa balaa.
Nilipoingia kwenya ajira nilianzia kazi ofisi zetu za arusha yeye akabaki dar na hapo ndipo alipobadili tabia ambayo hakuwa nayo mwanzo. Japo nilikiwa mbali hakuna kilichobadilika kwa kumjali kwa matumizi yake. Ila sijui tabia ya kukopa kaitoa wapi na nilishamkataza na nikamuambia akiwa na shida ruksa kuniambia na analijua hilo. Ila anapenda tu kukopa.
Baadae nikahamia kikazi kurudi mjini dsm. Yaani kila njia tukipita japo ni ndani ya gari ataniambia hapa tusipite na tukipita usishushe kioo flani ataniaona. Nikimtaiti anasema ananidai nilikopa wigi.
Hii tabia inanishinda sasa. Anadaiwa hadi kwenye vibanda vya baga. Saluni nyingi haendi ameacha madeni. Maduka zaidi ya sita maeneo ya kwao mikocheni anadaiwa. Wanafunzi aliomaliza nao udsm mwaka huu karibia mashosti wake wote wanamdai. Nishafanya juhudi zote kumkataza na kuyalipia madeni yake ila anarudia na anakopa tena.
Nifanyeje?