Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,009
- 142,681
Kwenye maombi na kwa waganga ndio kumejaa wanawake. Mmetufanyavso desperate, kuna wadada na elimu dunia kibao wanatapeliwa hadi unashangaa!
Ha haaaa haaa...sasa kakaa mimi nipo uchumbani mwaka wa 3 na sitarajii kumuoa leo wala baada ya miaka miwiliDuh, huyu naye kiboko kama wewe tu mkuu, uchumba miaka tisaaaaaa!!! hivi mnaogopa nini kuoa mkuu sumbai? tujuzeni na bro mkubwa Eli79 tunaweza kuwapa ushauri
cc Heaven Sent njoo uone huku uchumba sugu mwingine
Teh teh..Na jamaa wala haonyeshi kama ana mpango wa kuoa karibuni..
Huyu jamaa anaweza akawa anashikilia record ya kuwa na mahusiano ya muda mrefu hapa MMU
amilyroley umetoka kumnadi fisadi lowassa,sasa unatusahaulisha na uzi wa uchumba wa miaka tisa? pole sana mkuu
Kiongozi swala la madeni tuliweke kando kwanza, ni kwa nini unamhold binti wawatu miaka 9 bila kumuowa? yani utamu wote ule wewe umri wake akishachuja usichana ndio umpige chini halafu uowe mwingine? ndugu yangu utalogwa na wanawake wanawajuwa waganga kuliko unavyoweza kufikiri. shauri yako.
Ha haaaa haaa...sasa kakaa mimi nipo uchumbani mwaka wa 3 na sitarajii kumuoa leo wala baada ya miaka miwili
Alafu unanihoji hoji..kumbe kuna watu yani uchumba ni nearly awamu nzima ya urais. Daaaah
My dada Heaven Sent kuna tatizo hapo!!? Wakat wengine paka miaka tisa!!!!!!
yaaani jamaa kweli kavunja record, pongezi zake kwa kudumu nae na kuvumiliAna.
Ngoja tupime uchumba wake na safari za vasco da gama kukaaa angani nafikiri vinashabihiana aiseeee
Hahahaahahahahahaahahaaha....hii fundisho lazima tukae miaka mingi kujua tabia za wenza ambao tunataka kuoa maana unaweza kuoa bomu la atomicMiaka9 duuu uchumba sugu.
Kuna jamaangu anauchumba toka2003 ndio anaowa mwaka huu harusi tarehe19/12/2015.
Ha haa vasco da gama nadhana yeye ana 10+1 maana juz juz tu alikuwa southafrica
Mkuu mito, hivi mtu anakuwaje na mchumba kwa miaka tisa? Yani mfano walikutana wakiwaDuh, huyu naye kiboko kama wewe tu mkuu, uchumba miaka tisaaaaaa!!! hivi mnaogopa nini kuoa mkuu sumbai? tujuzeni na bro mkubwa Eli79 tunaweza kuwapa ushauri
cc Heaven Sent njoo uone huku uchumba sugu mwingine