Mchumba wangu amegundua skendo zangu

Mchumba wangu amegundua skendo zangu

Iko kama ifuatavyo:-

1. Nilimpenda mdada fulani hapa Sengerema, muda huo alikuwa anasoma chuo cha ualimu huko mkoani Mbeya.

2. Ndugu zake walifahamu mahusiano yetu na hadi ilifikia kuitwa shemeji na dada zake.

Kisa:-
Nilianza kuchepuka na kibinti hapo mtaani. Aliporudi toka masomoni akapewa faili zima nami nikakanusha vikali. Alisafiri kwa mwezi, ndo akaniachia nafasi ya kukagegeda hako kasichana.

Juzi karejea akapewa umbea wote na aliponitafuta kunihoji ilibidi nikiri na kuahidi kutorudia alipanga kunitambulisha kwa dada yake lakini ameairisha, mama yake amejua skendo nzima, na nduguze wote wamejua.

Ameniambia hataki tena kuolewa na mimi kiukweli mimi nampenda na namtaka sana huyo mchumba wangu mhitimu wa ualimu ngazi ya cheti.

Mimi ni mwalimu kijijini kwao.

Nitumie mbinu gani kumshawishi tena?

Naomba ushauri, kama sijaeleweka jaribuni kujiongeza maana nimevurugika kiakili.
Mbona sielewi unampenda halafu una cheat mapenzi ya style gani hayo jamani?
 
Muongo mkubwa Wewe; ungekuwa unampenda udingefanya huo uchafu na huyo msichana mwingine...Kwa hiyo hakuna namna nyingine...akuache tu.
 
sasa mwez huu magufuli kapanga kuwaongezea salary..c ndo utaoa wanakijiji wote huko bushland.
 
Si umuoe Huyo msichana... Iweje Uweze kugegeda alafu hamtaki
 
Mimi sielewi hawa Walimu wa mwendo kasi wakoje? Haiba mmepeleka wapi? Oa huyo mchepuko
 
Iko kama ifuatavyo:-

1. Nilimpenda mdada fulani hapa Sengerema, muda huo alikuwa anasoma chuo cha ualimu huko mkoani Mbeya.

2. Ndugu zake walifahamu mahusiano yetu na hadi ilifikia kuitwa shemeji na dada zake.

Kisa:-
Nilianza kuchepuka na kibinti hapo mtaani. Aliporudi toka masomoni akapewa faili zima nami nikakanusha vikali. Alisafiri kwa mwezi, ndo akaniachia nafasi ya kukagegeda hako kasichana.

Juzi karejea akapewa umbea wote na aliponitafuta kunihoji ilibidi nikiri na kuahidi kutorudia alipanga kunitambulisha kwa dada yake lakini ameairisha, mama yake amejua skendo nzima, na nduguze wote wamejua.

Ameniambia hataki tena kuolewa na mimi kiukweli mimi nampenda na namtaka sana huyo mchumba wangu mhitimu wa ualimu ngazi ya cheti.

Mimi ni mwalimu kijijini kwao.

Nitumie mbinu gani kumshawishi tena?

Naomba ushauri, kama sijaeleweka jaribuni kujiongeza maana nimevurugika kiakili.
Story za watu wa kanda ya ziwa ni nyingi sana hapa jukwaani
 
Mie nakushauri achana na uzinzi,
Utakufa kibudu au utafirwa kabisa[emoji194] [emoji207] [emoji207]
 
Hukuzingatia mbinu za kuchepuka ungefanya kimya kimya.siku ukitokea ndo labda mkeo amekuuliza unatakiwa uwe na msimamo ukatae kata kata.ungekuwa bado hujakiri kama umechepuka ungewahi kuokoa jahazi na ushauri ungepata mzuri.unatakiwa uwe na macho makavu tu sometime unakataa simjui na usiskilize maneno ya watu watatugombanisha.

Sasa anza upya kistaili nyingine itakusaidia(kataa) mwambie sasa nipo serious sijatembea na huyo msichana nilikubali kukuambia ili nikuchunguze upendo wako kwangu upo vipi.nimegundua kumbe hunipendi uko tayari kuskiliza maneno ya watu na kuamini hata bado hatujaingia kwenye ndoa.naomba twende kwa mtu yoyote unaemuamini akupe ushahidi hata huyo msichana mwenyewe tumtafute na wazee waitwe ili athibitishe hata mahakamani upo tayari. (Atastaajabu hatokuamini, atahitaji maelezo yako ili umuelezee vizuri kisa na mkasa, na hapo sasa tumia last chance)
NOTE: kuwa serious macho makavu usimbembeleze ili aone unachoongea upo makini kushinda yeye anavyofikiria
 
Mkuu una uzoefu enhee
 
Upuuzi mtupu. Unastahili kuachwa mchana kweupe.
 
I normally say that if you act out of ordinary..you should accept orthodox problems and possibly enjoying them!!!...so get the consenquences of your own deeds and what she did is right!!
 
You really know the impacts of what you did from the beggining!!!..so reap what you sow
 
Back
Top Bottom