Mchumba wangu amegundua skendo zangu

Mchumba wangu amegundua skendo zangu

Kijijini wafanya nini? Kumbe kuna watu waishi vijijini humu!!!
we jamaa vipi unashangaa mini sasa haapa hapa Tanzania kuna mjini haya majiji yetu yunaita mfn hapa dar,mwnz,mby,na ar.c ni senta tu kubwa zilizopanuka.mjin ulaya bwana.

kwahiyo pale sengerema(wilayan).ni kijiji tu.
 
Mwanadamu anakuwa mstaarabu baada ya kujitoa kwenye vifungo vya utumwa wa matamanio ya nafsi.....haustahili kuwa kwenye ndoa au mahusiano yoyote mpaka uwe huru kutoka kwenye kifungo hicho......

Utakapomudu kuyadhibiti hayo...basi utakuwa mwanamume wa kweli na kuwa kiongozi wa familia na mfano bora kwa uzao wako......

Wazuri ni wengi ni lakini haimaanishi kuwa ni lazima ulale hao wengi bali ni kumchagua mmoja tu ambaye ni mzuri zaidi mbele ya mboni zako.....

Ni dhahiri kuwa upo kwenye balehe na umeshapoteza udhibiti wa milango yako ya fahamu maana umeshindwa kuwa na tahadhari juu ya jambo hilo....baada ya kushindwa kujizuia

Huyo mwanamke nitamuona ni mjinga na ni mpumb.avu kama atakubali kujikabidhi kwako.....tendo ulilofanya ni kama kubwia unga ni ngumu kuacha bali kwa wanaume wa kweli......

Alafu ukishampa mimba huyo binti na kumuacha...huku ukipigania kumuoa huyo mwalimu....mnakuja na sredi za kuwaponda single mother kana kwamba hayo matumbo yameota yenyewe kama uyoga.....
 
Kwani wewe umefikisha umri wa kuweza kuishi na mke?
 
Kosa ulilolifanya ni kukubali ungekana palepale hawa watu sio wakuwambia ukweli utaumia bule
 
we jamaaa unastahili unyongwe , hivi kwann mnawatesa hawa viumbe...
 
Nenda hapo kwenye Lambo la Mzungu ukajichovye mara saba (kama Naamani mwenye ukoma, habari zake zinapatikana kwenye Biblia) nawe utatakasika na skendo zako zote...
 
iko kama ifuatavyo:-

1. nilimpenda mdada fulani hapa sengerema, muda huo alikuwa anasoma chuo cha ualimu huko mkoani mbeya.

2. ndugu zake walifahamu mahusiano yetu na hadi ilifikia kuitwa shemeji na Dada zake.



kisa:-
nilianza kuchepuka na kibinti hapo mtaani. aliporudi toka masomoni akapewa faili zima nami nikakanusha vikali.



alisafiri kwa mwezi, ndo akaniachia nafasi ya kukagegeda hako kasichana.

juzi karejea akapewa umbea wote na aliponitafuta kunihoji ilibidi nikiri na kuahidi kutorudia.


alipanga kunitambulisha kwa dada yake lkn ameairisha, mama yake amejua skendo nzima, na nduguze wote wamejua.


ameniambia hataki tena kuolewa na Mimi.


kiukweli mimi nampenda na namtaka sana huyo mchumba wangu mhitimu wa ualimu ngazi ya cheti.

Mimi ni mwalimu kijijin kwao.

nitumie mbinu gani kumshawishi tena?



naomba ushauri, make nimevurugika kiakili.
ngoja wanafunzi watakapokutia mboko na kukung'oa meno kama mwenzako wa katavi akili itakukaa sawa
 
Kitendawili.. Tega. MTAKA VYOTE? AHAHAH HUKOSA VYOTE. pole sana.
 
endlea kutafuta msamaha na siku nyengine usikubali makosa kirahis hvyo hakikisha umefumwa gest ndio ukubal sawa kijana.
 
Back
Top Bottom