Mchumba wangu amegundua skendo zangu

Mchumba wangu amegundua skendo zangu

Jitahidi tu upate uafisa elimu utampata tu ila we jamaa wa ajabu sana yaani kiulaini tu umekiri kuwa ulikua unachepuka ulitegemea atashangilia kuwa mchumba wake anakaza mabinti wengine pole sana
 
Iko kama ifuatavyo:-

1. Nilimpenda mdada fulani hapa Sengerema, muda huo alikuwa anasoma chuo cha ualimu huko mkoani Mbeya.

2. Ndugu zake walifahamu mahusiano yetu na hadi ilifikia kuitwa shemeji na dada zake.

Kisa:-
Nilianza kuchepuka na kibinti hapo mtaani. Aliporudi toka masomoni akapewa faili zima nami nikakanusha vikali. Alisafiri kwa mwezi, ndo akaniachia nafasi ya kukagegeda hako kasichana.

Juzi karejea akapewa umbea wote na aliponitafuta kunihoji ilibidi nikiri na kuahidi kutorudia alipanga kunitambulisha kwa dada yake lakini ameairisha, mama yake amejua skendo nzima, na nduguze wote wamejua.

Ameniambia hataki tena kuolewa na mimi kiukweli mimi nampenda na namtaka sana huyo mchumba wangu mhitimu wa ualimu ngazi ya cheti.

Mimi ni mwalimu kijijini kwao.

Nitumie mbinu gani kumshawishi tena?

Naomba ushauri, kama sijaeleweka jaribuni kujiongeza maana nimevurugika kiakili.
Mie nakushauri achana na uzinzi,
Utakufa kibudu au utafirwa kabisa[emoji194] [emoji207] [emoji207]

Hyo ndo faida ya kuchepuka. Karanga zakuonjeshwa zmekuponza. Pole
 
Aache kukuzingua kwani yy wakat anasoma huko chuo hakuna alie kua anamgegeda we kama huamini mwambie akuachie cm yake japo siku moja
 
msema kweri ni mpnz wa Mungu ngoja mie nkwambie ukweri huyo dada cyo saiz yako ww endelea na huyo wa hapo kijijin
 
Aache kukuzingua kwani yy wakat anasoma huko chuo hakuna alie kua anamgegeda we kama huamini mwambie akuachie cm yake japo siku moja

akizingua anachapa raba. alitegemea nchi isiwe Na upinzani, ?
 
Acha tamaa mwalimu, nyie ndo mnaojaza mimba wanafunzi kibinti kidogo cha nini nawe una mchumba, oa tu huyo binti kwanza ushamchafua, unataka ukaache katoto ka watu afu nani aje ale uchafu wako
 
Back
Top Bottom