Mchumba wangu ameamua tuachane

Tafuta ela mkuu na elimu ikiwezekana,....atarudi!!
maana kikulizacho Ni utegemezi,mpaka ukamfata mkoa.
 
Lia sanaa wakati wenzako wanajilia sanaaa
 
super mariyoooo
 
You never know how strong you are until being strong is the only choice you have!!
 
Dogo jipange upya, kama ilivyokwisha elezwa awali mapenzi ya kweli hayaangalii elimu, kipato wala rangi. Hapa ishu ni mtoto. Je ni malezi gani atayapata baada ya huu mfalakano. Sitisha mawasiliano, anza upya hiyo ni challenge tu hata wachezaji wanapewa kadi nyekundu baada ya mechi tatu anarudi uwanjani na anakuwa bora zaidi, Fanya biashara sana hakuna mfanyakazi tajiri ila kuna mfanyabiashara tajiri. Nakutakia maisha mapya mema.
 
Mkuu hujui kuwa ulikuwa unatafutiwa sababu tu hapo? Mwenzako amejiona mTIA wewe misheniTOWN, akaona hamuendani tena. Chapa lapa, anza upya.
 
Dickson mwaipopo siyo u super mariyoooo, mahitaji yote mhimu nilikuwa nnatoa, wakati mwingine nilikuwa nnatoa hadi shilingi yangu ya mwisho ili ww aishi wakati anaanza kazi. Sijawahi tumia hela yake hata kidogo
ok sawa, bhas wewe tafta anaekufaa huyo mfute tena kwenye akili yako, zingatia biashara zako tu huyo atakupoteza muda wako bure!
 
Pole kwa kutoa machozi kwa ajiri ya mwanamke, hawa viumbe sio kabsa wewe achana nae fanya kazi yako ila usiache kumjulia hali mtoto wako.
Imeshakuwa hivyo hamna jinsi kiongozi komaaa kivyako tena usimuweke akili maana hutofanya jambo la maana.
 
hahahaha umenikumbusha chuo..niliachana na kidem changu baada ya kumaliza chuo,,tukaliliana wee..
ila nilipopata kazi nzuri..madem wazur mjini mbona walikaribisha jiji,..kwanza nina demu mkaliiiiiiiiiiii yeye haoni ndani...
yeye leo hii anabaki kujichekesha chekesha tuu afu mbaya zaidi namuona ka kibibi changu

inshort tafuta hela , jipange wanawake wazuri wapo wakutosha ondoa presha
 
Kitu ambacho hukujua ni kwamba mwanamke yoyote akishakuwa na kipato kukuzidi Sio wako tena huyo,
Afadhali yako ulimkuta ana vyeti vyake tayari wapo ambao walitumia gharama zao kuwasomesha wapenzi wao huku wakijibana kimaisha lakini pindi tuu wakipata ajira wanawabwaga,
Nime experience jambo hili kwa watu zaidi ya sita ninao wafahamu,
Hiyo kukuambia eti alichoka kusubiri hasira zako na kuamua kuingia Ktk mahusiano mengine ni kisingizio tuu lakini kiukweli she was looking for the reason to break up,
Kwa kifupi wanawake Sio watu wazuri hasa anapohisi ana uwezo wake binafsi na hawezi kukuhurumia hata Kama mmetoka mbali.
Funika huo ukurasa fungua mwingine vinginevyo utapata uchizi bure kwa kulia.
 
You are a very lucky son a gun
 
Hiyo ni intressant

http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
http://s09.jamiiforums.com/mini/h96A/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
 
tafuta pesa, reseat form four, kasome 5 na 6 evening programme, faulu, jiandikishe chuo kikuu huria soma degree, tafuta hela tena ,tafuta mke material oa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…