Mchumba wangu ameamua tuachane

Pole sana, ndo shida ya kuwa na demu m1 akikuzingua mpk unaweza kuhara.
Nakushauri umwache utafute mtu mwingine, umariooo pia umekuponza na hizo hasira sasa
 
acha ujinga ww ushamzalisha hana jipya, sepa Fanya yako
 
Umeongea point loveissweet ila napenda kukuliza kwanini mara nyingi mwanamke akimzidi mwanaume elimu au fedha wanaanza kuleta kiburi na dharau kwa wanaume zao??

I think tunatofautiana as human being from different backgrounds... Some women ni ulimbukeni unawasumbua tuu.... That's all I can say .. Kuna some women I know wamekwenda shule zaidi ya waume zao walioolewa nao na huwezi juwa if their husbands wako chini in education . they just let Love lead .. So it depends . Malezi pia na maisha ya kuiga yanachangia kwa hili.. Thanks
 
Huyo wake atakuja kama HANA PESA?
Cha kumshauri atafute pesa tu;akiwa na pesa hao viumbe hawasumbui atachagua yyt ampendaye

Not all women wife material looking on what you have instead on what can we do to own it ...Thanks..
 
Upo sahihi mpendwa, elimu haina nafasi kwenye penzi la kweli hata kidogo, ulimbukeni unawasumbua wanaodiriki kuona hii ni kigezo muhimu, hakuna mtu aliyezaliwa na elimu bali elimu inatafutwa.
 
Hahahaaaa....lakini ni kwanini nyinyi wanawake wasomi manatukataa sisi tusiosoma.....??
I don't know for those who doing that.. But ni kutojitambua na ulimbukeni tuu some of them unawasumbua.. That's why utakuta some of women baada ya ku waste time zao because of their degrees they had, wakisha fika age fulani they start going crazy because no men to marry them or to pregnant them ( I have seen this ).. Na waliowakataa washaoa ... Or wana wachumba zao.. What's next for them ? Some wanaishia Ku date waume za watu or younger age just for satisfaction... Full stress and depress... Thanks..
 
Hao wanaokuja kugundua watoto sio wa kwao wanakuwa katika mazingira yapi? Kifupi huyo mwanamke mwehu. A kid needs both parents' attention, love n care. Huo upuuzi alioanzisha huyo mwanamke ataumaliza mwenyewe. Asusiwe mtoi tu
You go out of the topic and point...Happy Sunday.... Thanks..
 
Pole sana, ndo shida ya kuwa na demu m1 akikuzingua mpk unaweza kuhara.
Nakushauri umwache utafute mtu mwingine, umariooo pia umekuponza na hizo hasira sasa
Atafute mtu mwingine au wengine
 
upo sahihi sn mkuu.
 
Anza kutumia ubongo wako. Usiache moyo ukutawale. Utabaki una lilia lia tu. Cha kufanya mwambie we unataka kumtunza mwanao . Achana na huyo mdada.

Ye amesha Pata maisha mapya na wewe tafuta yako. Kuwa mwanaume acha kulia lia.
Mwanaume unalia nini? Hujui kakufanyia favor, yaaan mwanamke miezi 2 tu alishapata na mchumba na ameashatangaza fb bado unaamini una mke hapo? Sikia kijana, jichange anza... Endelalea na mishe zako
 
Pole Sana. Kwanza kupenda siyo dhambi na binadamu siyo robot. Kwahiyo kama unataka kulia wewe lia tu hadi maumivu yapungue. Itachukua muda hadi uweze kupunguza mapenzi uliyo nayo kwa huyu dada na hilo siyo jambo la ajabu. Ushauri wangu kwako ni focus kwenye biashara zako na mtoto bila kuwa na kinyongo na huyo dada baada ya muda utashangaa jinsi utakavyoweza kuendelea na maisha yako.
 
Kwenye maisha unatakiwa kujua kwamba nature haiwezo shindwa na artificial, nature inasema mwaname ale kw jasho we unataka mtelemko, huyo bint alikuwa anakupigia hesabu tu baada ya wewe kumpa mimba. Ameshazaa amepata kazi we kidume upo home hutoki akulishe! hiyo roho waliwekewa wanawake wachache tu.
Bahati mbaya kama amelelewa na mama pekee huwa inakuwa shida zaidi kwani hajui kama mwanaume anatunzwaje kwa kuwa hajawahi kuona hiyo aliwa kwao.
We rudi ulikokuwa umezoea kupata riziki chapa mzigo bila kusahau kumtembelea mtoto kama kuna uhitaji huo ila kama wanamtunza acha wafanye hivyo then utakuja kwenda kumchukua tu.
Ila tu nikuhakikishie chance yake ya kuolewa tena ni ndogo sana, labda yy aoe tena. Vijana gani kw sasa anaoa mwanamke mwenye mtoto! Labda wazee na wagane hao ndo atwapata mbali na hao watakuwa wanagusa wanaondoka.
Piga kazi ndugu yangu, mapenzi mazuri ni yale ya pande zote.
 
Pole sana mkuu, inauma lakini hakuna namna jikaze na Mungu atakujalia zaidi ya huyo cha msingi acha kumtafuta kbs, usimpe kichwa ajione kuwa ni mzuri saaaana, nikutie moyo tu kuwa wanawake wazuri wa sura na tabia wenye kazi zao nzuri na wenye elimu ya juu wapo lakini hawajapata bahati ya kuolewa, mwaache huyo na ulimbukeni wake atakuja kujuta maana hata huyo aliyempata anamdanganya tu.
 
Inuka, kung'uta vumbi nguo zako, tembea taratibu kisha timua mbio. Wanawake wako bilioni nne duniani. Stop lamenting gentleman! Mpe miaka minne atakuja kwako na vilio na maombi mengi ya msamaha! Ila uamuzi utakuwa ni juu yako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…