Mkuu ndoa dec 2014... Kwa ulimbo huo utawanasa wengi.. wadada wengi humu wanazeekea makwao.. Kwa offer hiyo watamiminika wa kutosha.. Wengine ukimpata wa kumpata.. Waliobaki utanirushia mimi nihangaike nao teh teh
Na divorce itakuwa baada ya miezi michache,kijana acha kucheza na ndoaMimi ni kijana wa kiume miaka 28 sijaoa natafuta mke nipo sirias nimeshajipanga vya kutosha nikimpata ndoa december 2014 kama kuna dada yupo tayari kuolewa tafadhali wasiliana nami kupitia email hii chachaadudu@gmail.com
Mimi ni kijana wa kiume miaka 28 sijaoa natafuta mke nipo sirias nimeshajipanga vya kutosha nikimpata ndoa december 2014 kama kuna dada yupo tayari kuolewa tafadhali wasiliana nami kupitia email hii chachaadudu@gmail.com
Mahari kiasi gani,una nyumba au umepanga? unagari gani? unafanya biashara gani? bank kuna kiasi gani? unatokea Tanzania mji gani? dini gani? mengine nabakisha?