Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,966
- 8,977
Pole mkuu, hawa watu ni wakuwa nao makinipumbavu sana hawa madada waliniibia EXTNAL HDD yangu akijua powerbank baada kugundua hakina faida kwake kaenda kuuza bei ya kutupwa 7bu hajui ni dubwana gan wala kazi yake wakati mule kuna data zangu zenye thamani ya mamilioni yq shilingi
yaan afungwe tu tena na adhabu kali gerezani wajinga sana njaa zitawaua
nimekoma tngu siku hyo sasa hv natulia na mama yeyoo tu hta nikisafili mkoani najizuia 7bu huwezi kumjua kama ni JAMBAKA mpk akishakupigaPole mkuu, hawa watu ni wakuwa nao makini
Lol....Karibu jeshi ra porisiAisha s/o!!! How come?
Hata mimi nimeshangaa kweli! Huyo afande aliyeandika hata hakujua kama huyo mwizi ni wa kike...Aisha s/o!!! How come?
Huenda toto lilimchanganya maana limependelewa uzuri likanyimwa akiliHata mimi nimeshangaa kweli! Huyo afande aliyeandika hata hakujua kama huyo mwizi ni wa kike...
Asante mkuuLol....Karibu jeshi ra porisi
Huyo atakuwa alimwibia mpenzi wake labda hakumlipa hela yake akaamua kujilipa mwenyeweDu! ni aibu kwa mrembo.!
🙂
kweli aisee aliyeandika hicho kibao kavurundaAisha s/o!!! How come?
Aisha s/o!!! How come?
The guilty are afraid. ...J.H.Chasehata sura inaongea
I can see the truth in her eyes
Umenikumbusha mwaka 2012 kuna mdada aliiba modem akaja mbio mbio akaniambia nimenunua flash niwekee ile movie uliyokuwa unaangalia jana. Kuitazama tu kumbe modem, nikamwambia sio flash, hii ni modem. Akaniuuliza modem ndo nini? Nikamuelewesha modem ni kitugani, ndo kuniambia kamuibia mtu akijua ni flash.pumbavu sana hawa madada waliniibia EXTNAL HDD yangu akijua powerbank baada kugundua hakina faida kwake kaenda kuuza bei ya kutupwa 7bu hajui ni dubwana gan wala kazi yake wakati mule kuna data zangu zenye thamani ya mamilioni yq shilingi
yaan afungwe tu tena na adhabu kali gerezani wajinga sana njaa zitawaua
Asilimia kubwa ya wezi anaochukua maelezo yao kila siku ni s/o... vidole vyake vitakuwa vimeshazoea kuandika hivyoHata mimi nimeshangaa kweli! Huyo afande aliyeandika hata hakujua kama huyo mwizi ni wa kike...