BISLETT STADION
Member
- Aug 27, 2024
- 18
- 29
Wapo wa 30 to 36 or above na hawana watoto na bado wapo very good and well focused.Mkuu unatafutaje mwanamke Jf mwenye umri wa miaka 30 bila kugusia namna utakavyomhandle mtoto wake?
nimelia sanaNadhani palipokuponza ni hapo kwenye herufi kubwa "MSHANGAZI"😁😁.....MISHANGAZI tunaonewa sana
🤣🤣nimelia sana
Add X kwa mbele....Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu.
Endapo wewe ni mwanamke na una uhitaji wa mume basi nakufahamisha kuwa 'tatizo lako limepata suluhisho'. Mimi nina uhitaji wa mwanamke ambaye kwa kuanzia awe rafiki/Mchumba lakini baada ya kufahamiana zaidi kitabia na hulka baina yetu tukiridhiana basi tufunge ndoa na kufurahia maisha pamoja.
Awe na sifa hizi: umri kuanzia miaka 30 mwisho miaka 36. ELIMU: kuanzia Bachelor degree au zaidi na sio chini ya hapo.
Awe public sector or private sector.
Awe na umbo la kike no matter she is black or white.
NB: Kama elimu yako ni Diploma or less than that, hata kama ni MSHANGAZI UNA FEDHA ZAKO NA BIASHARA ZAKO - sikuhitaji.
Mwanamke bora ni yule mwenye kujitambua thamani yake, anayejielewa na mwenye hofu ya Mungu.
KARIBU SANA MKE WANGU MTARAJIWA 🙏🙏
Mengine tutayajadili pm.
Dada ushapata shemeji andaa bridal shower
Hapo kwenye ELIMU kaka🏃♀️Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu.
Endapo wewe ni mwanamke na una uhitaji wa mume basi nakufahamisha kuwa 'tatizo lako limepata suluhisho'. Mimi nina uhitaji wa mwanamke ambaye kwa kuanzia awe rafiki/Mchumba lakini baada ya kufahamiana zaidi kitabia na hulka baina yetu tukiridhiana basi tufunge ndoa na kufurahia maisha pamoja.
Awe na sifa hizi: umri kuanzia miaka 30 mwisho miaka 36. ELIMU: kuanzia Bachelor degree au zaidi na sio chini ya hapo.
Awe public sector or private sector.
Awe na umbo la kike no matter she is black or white.
NB: Kama elimu yako ni Diploma or less than that, hata kama ni MSHANGAZI UNA FEDHA ZAKO NA BIASHARA ZAKO - sikuhitaji.
Mwanamke bora ni yule mwenye kujitambua thamani yake, anayejielewa na mwenye hofu ya Mungu.
KARIBU SANA MKE WANGU MTARAJIWA 🙏🙏
Mengine tutayajadili pm.
Nenda PM sasa,Asante Mungu kwa kusikia kilio changu! Ama kwa hakika tatizo langu limepata suluhisho🙏🏽
Hofu ya MUNGU, hii ndo pointTafadhali husika na mada tajwa hapo juu.
Endapo wewe ni mwanamke na una uhitaji wa mume basi nakufahamisha kuwa 'tatizo lako limepata suluhisho'. Mimi nina uhitaji wa mwanamke ambaye kwa kuanzia awe rafiki/Mchumba lakini baada ya kufahamiana zaidi kitabia na hulka baina yetu tukiridhiana basi tufunge ndoa na kufurahia maisha pamoja.
Awe na sifa hizi: umri kuanzia miaka 30 mwisho miaka 36. ELIMU: kuanzia Bachelor degree au zaidi na sio chini ya hapo.
Awe public sector or private sector.
Awe na umbo la kike no matter she is black or white.
NB: Kama elimu yako ni Diploma or less than that, hata kama ni MSHANGAZI UNA FEDHA ZAKO NA BIASHARA ZAKO - sikuhitaji.
Mwanamke bora ni yule mwenye kujitambua thamani yake, anayejielewa na mwenye hofu ya Mungu.
KARIBU SANA MKE WANGU MTARAJIWA 🙏🙏
Mengine tutayajadili pm.
Wapo tena wengi na wana heshima zao na kazi zao za maana tu and most of them are graduates / Bachelor degree holder and above.Hakuna mke mwema wa umri huo utampata
Naona aibu🫣Nenda PM sasa,