Mchumba /mume

Mchumba /mume

Utakuwa sura mbaya, mnene uko round huwezi jua mbele ni wap nyuma ni wap
 
Nipo hapa Sina mume Wala mchumba nipo peke yangu

Natamani kuwa mwenza wa kupanga nae familia Nina penzi la dhati kwa mwanaume anae jielewa na kujitambua

Tofauti na hapo huto pata penzi la dhati toka kwangu

Sifa za mwanaume ninae mpenda awe mrefu kihasi ,mwili ulio jaa kidogo mweusi na awe na shuguri ya kutuingizia kipato kwakua bado Mimi sijapata kazi ndo natafuta

Umri wake uwe Kati ya miaka 30-40

Asiwe ametengana na mke wake Ila kwa anae taka kuongeza mke pia nafasi wazi

Leo nipo online Kama nusu saa hivi nasubiri majibu yenuu
Vipi ushapata tayari ama
 
Mabaharia mnaangusha kambi.... Ni kweli kabisa huyu amekosa wa kumtimizia haja..
 
Sifa zako wewe zikoje
Nipo hapa Sina mume Wala mchumba nipo peke yangu

Natamani kuwa mwenza wa kupanga nae familia Nina penzi la dhati kwa mwanaume anae jielewa na kujitambua

Tofauti na hapo huto pata penzi la dhati toka kwangu

Sifa za mwanaume ninae mpenda awe mrefu kihasi ,mwili ulio jaa kidogo mweusi na awe na shuguri ya kutuingizia kipato kwakua bado Mimi sijapata kazi ndo natafuta

Umri wake uwe Kati ya miaka 30-40

Asiwe ametengana na mke wake Ila kwa anae taka kuongeza mke pia nafasi wazi

Leo nipo online Kama nusu saa hivi nasubiri majibu yenuu
 
Mtu anataka mume 30-40 hivi kweli mimi niwe na 40 na nisiwe nimewahi tengana na mke wangu? Hilo tangazo tafuta Katekista mpe aka print apeleke Kwa ndugu mapadri
 
Back
Top Bottom