Mchumba mchaga ,msomi jamani naomba ushauri

Soma hapa kijana halafu tafakari mwenyewe
 
Attachments

  • 1394751673302.jpg
    85.8 KB · Views: 188
Kuzaliwa mchaga tu ni sifa tosha yaani direct ni mchumi,ukijumlisha na hiyo degree aliyosoma yani kashakuacha sanaa.. Chagua moja uoe msomi kama huyo chaguo lako au std seven uwafurahishe wazazi,over.
 
Last edited by a moderator:
Pengine ni sababu ya methali hii ya 'uchungu wa mwana........'.
Aaah kuna mahali hata methali zenyewe zinakinzana
"mvumilivu hula mbivu"
"haraka haraka haina baraka"
uchague kipi sasa?
 
Ala!oa msukuma mwambie huyo mchaga anipm mi nawatafuta vibaya mno.
 
Jamani mimi ni kijana mwenye miaka 27 mwenyeji wa mkoa wa shinyanga muda wa kuoa naona umekaribia nikiwa masomoni nilimpata mchumba binti wa kichaga ana degree lakini nyumbani wanataka nioe kwetu usukumani na awe std vii wana jamvi nifanyeje?

Kama unaoa mke, mke huwa anatoka kwa Mungu na Mungu ukimuomba atakupa mke mwema popote pale duniani. Ila kama unatafuta mwanamke wa kuishi nae hiyo sio taabu we fuata matakwa ya wazazi wako. Sasa amua unatafuta mke au mwanamke wa kuishi nae?
 
Jamani mimi ni kijana mwenye miaka 27 mwenyeji wa mkoa wa shinyanga muda wa kuoa naona umekaribia nikiwa masomoni nilimpata mchumba binti wa kichaga ana degree lakini nyumbani wanataka nioe kwetu usukumani na awe std vii wana jamvi nifanyeje?

Nina mdogo wangu anatafuta mchaga nafikiri huyu atamfaa....lete contact zake. We rudi usukumani kama wazee walivyokushauri.......ujinga mwingine bwana.
 
Jamani mimi ni kijana mwenye miaka 27 mwenyeji wa mkoa wa shinyanga muda wa kuoa naona umekaribia nikiwa masomoni nilimpata mchumba binti wa kichaga ana degree lakini nyumbani wanataka nioe kwetu usukumani na awe std vii wana jamvi nifanyeje?
unao kwa ajli yako ama kwa ajili ya ndugu zako?
 
Ukishakubaliana nao then watakuambia usiowe msukuma mkatoliki watakuchagilia msabato mwenzio
 
jamani mimi ni kijana mwenye miaka 27 mwenyeji wa mkoa wa shinyanga muda wa kuoa naona umekaribia nikiwa masomoni nilimpata mchumba binti wa kichaga ana degree lakini nyumbani wanataka nioe kwetu usukumani na awe std vii wana jamvi nifanyeje?
wachaga wanakwambia una kabati ya mbeo...pikapu ya kubebea majani,au ndo mbesa tilaa meku..stuka usije kuwa baba afa na presha mae...ila ukipata mchaga jua kutafta pesa na lazima uwe na biashara.wapi manka,magdalena,miss chagga
 
msukuma na mchaga wapi na wapi, kaka mchaga humuwezi fuata tu ushauri wa wazazi wako, mchaga hana hali ya kujali.

Na hii tabia ya wasukuma kujazana kwa ndugu, kutaka kupikiwa ugali mwingi, akioa mchaga ahamie uchagani wasukuma wenzie wasimtafute tena!
Wachagga ni wachoyo kwenye chakula, labda wanakwenda na bajeti! Mambo ya "mgana"hawana!
Kama anataka mke wa kudhibiti chakula na kipato kisiende kwa ndugu, mchaga anafaa sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…