Mkakatika
Member
- Nov 15, 2009
- 52
- 8
Wanajamvi ninamchunba wangu ambaye nimeishi naye kwa miaka miwili vizuri. Hivi karibuni amekuwa analala usingizi mzito sana kiasi kwamba hatambui kama Mimi nipo. Madai yake ni uchovu wa kazi. Lakini hata wikiendi asipoenda job ni kusinzia Kila wakatina alalapo ni usingizi wa pono. Mimi nahisi labda Hana hisia na mimi ndo maana usingizi umekuwa bora zaidi yangu. Hakuna muda tena wa kujadili maendeleo yetu na maongezi mengine. Msaada tafadhali maana sina Amani sina wa karibu kama yeye kujadili au kuncheka naye kama mwanzo. Mbaya zaidi hausigirl kaachiwa kazi zote ku pika, kufua na kufungua geti endapo nachelewa kurudi ambayo ni mara chache sana.
Chakula yetu ile hata wiki na zaidi yaweza pita wala hajisikii. Hata nikianZa anaKuwa mchovu no ushirikiano.
Chakula yetu ile hata wiki na zaidi yaweza pita wala hajisikii. Hata nikianZa anaKuwa mchovu no ushirikiano.