Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,212
Maovu mengi yetu nyie ni chanzo toka mwanzo mwa dunia au umesahau nyie ndo chanzo cha binadamu wa kwanza (Adam) kutenda zambi na kufukuzwa bustaniniHebu rudia tena, mnachofanya nyie ni afadhali? Kwahiyo maovu yenu nyie mnayaona yana afadhali kuliko ya kwetu? Lizarazu unaona nilichokuwa nakwambia sasa? Hapa napo mtasema nawatetea tu wanawake wenzangu?
Mwanaume ni kiumbe chenye utashi wa hali ya juu na ndo maana tukaumbwa kama kiongoz kwenu hatuna shida kabisa tatizo mnatuchokonoa sana tunaamua kufanya maamuz magumu ambayo nyie mnaita maovu ila kama mtaisha vzuri na sisi dunia itakuwa sehemu salama
Chukua ukweli mchungu hapa chini
Mwanamke Mara nyingi ni chanzo cha matatizo hata kweny mambo ya mahusiano au kifamilia lakini haimaanishi sisi wanaume sio chanzo sometimes tunaweza kuwa
kule kuna matukio na malalamiko mengi hupaswi kuyaona ni aibu sana kama utasikia mashtaka yenu tunayoletewa