Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,331
- 7,885
yes!! you always side with your idem gender in whichever topic that trying to correct their evil deeds.Umeniita mzee wa counterargument za utetezi
yes!! you always side with your idem gender in whichever topic that trying to correct their evil deeds.Umeniita mzee wa counterargument za utetezi
yes!! you always side with your idem gender in whichever topic that trying to correct their evil deeds.
UKIKUA UTAMUELEWA MLETA UZI..
OVER
That's because you always correct our evil deeds but you do not want to be corrected yours
ahahaha.... I usually don't support any wrong doing regardless of the gender, i will blast whoever does it so long as i find it is incorrect. But you dont do the same, you often come up with some funny arguments to defend your fellow women even if the burden of ignorance falls upon their side.
So JF men is the reason why you seem so maradrastic and you drop every biased comment in favor of your fellow women!?You know why? Because I've realized that men usually tend to blame women in everything even in matters where both genders should be blamed
Kama tulivyokubaliana kwenye kikao chetu, kuwa ni maeufuku kumsomesha mchumba wako. Hili tulishalifunga na atakae tuletea malalamiko tutampiga kwenzi kuu, ndio tunampa ushauri.
Sambamba na hilo, niongezee kuwa ni marufuku kumuuguza mchumba wako. Hapa nazungumzia matatizo makubwa ynayoghalimu muda na Pesa za kutosha.
Baadhi ya magonjwa hayo ni, kisukari, kifafa, ugumba, miscarriage za Mara kwa Mara, moyo, figo na matatizo mengine sawa na hayo. Mwanamke ukimsaidia na kupona, dharau huwa kubwa sana na hata ndugu wanaweza kukuuliza, "unataka urudishiwe kiasi gani ili uachane nae".
Muuguze yule tu unayeishi nae kama hujamuoa achana nae.
*********** ushuhuda *********
Kuna jamaa anaitwa Steve, huyu bwana alikutana na demu mkali (Beth). Tatizo la huyo demu alikuwa na matatizo ya kukamaa mfano wa kifafa. Ndugu walihangaika wakachemka, wakakata tamaa.
Baada ya muda jamaa akajitosa. Akaanza kumhangaikia na demu akaenda kuponea kilolo ndani ndani huko. Jamaa ilimghalimu kama kilo 9 hivi, baada ya demu kupona ndugu wakampa ruhusa ya kuishi nae.
Mwaka mmoja mbele (mwaka huu), binti akawa hakamatiki. Madoni ya mji yaliyomdharau yakaanza kumfukuzia by hook and crook. Demu akaanza dharau, pia kutokana na jamaa kuunga unga tu life ikabidi asalimu amri.
Nilikaa nae muda mrefu na kumpa ushauri uliomsaidia sana. Maana jamaa alishaanza kupiga hesabu tu ya namna ya kuacha kuvuta oxygen. Lakini demu kuonesha kuwa hamtaki jamaa alikunywa mpaka sumu kuwaahinikiza ndugu zake wamtoe kwa jamaa.
Niishie tu hapo lakini, ole wake atakae muuguza mchumba!!!!!!!!!!.







eti unataka urudishiwe kiasi gani ili uachane naye wakati mwanzo walishindwa kumpa msaada au kumpatia pesa ya matibabu.Ndiyo shida yao huwa hawaikumbuki hyo roho nzuri yako?ndiyo maana ni bora kuwa kauzuShida hawa viumbe huwa sijui wanamapepo wakipona wanasahau kila kitu
Kidogo sisi afadhali ila nyie mnachofanya ni zaidi ya unyama mifano ipo mingi sana kweny jamii dah imagine jamaa kama angekua katoa figo...Kwani ni wanaume wangapi wanafanyiwa fadhila nyingi na wanawake zao kwenye mahusiano na bado hao wanaume wanawaacha hao wanawake mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu haya mambo wakifanyiwa wanawake mnaona ni kawaida ila mkifanyiwa wanaume mnaona ni uonevu
Hahahaahahaha... mkuu hii vita anayeiweza huwa ni Extrovert tu. Sisi wengine huwa tunapigwa KO hivyo tunajiamua mapema
Not only JF men but all men who blame on women in all matters maybe you can tell me the reasons why many if not all men like to blame on women in everything why?So JF men is the reason why you seem so maradrastic and you drop every biased comment in favor of your fellow women!?
Kidogo sisi afadhali ila nyie mnachofanya ni zaidi ya unyama mifano ipo mingi sana kweny jamii dah imagine jamaa kama angekua katoa figo...
HahahahahahahaMzee wa counterargument za utetezi ningeshangaa sana kama usingetokea kwenye huu Uzi.
Nkuendelezee???Nimeishia hapo kwenye miscarriage
Mimi nlikuwa naipagana vita hii ila nkaona ya nini kupigana vita isiyo maslahi yoyote??ahahaha... mkuu hii vita anayeiweza huwa ni Extrovert tu. Sisi wengine huwa tunapigwa KO hivyo tunajiamua mapema