Mchumba hataki kusex anataka kulipa mahari

mi sitaki kugongwa kabisa labda usiwe muoaji ukiniambia mambo ya ndoa itabidi usubirie ndoa
Hilo ni wazo zuri kutegemea na muktadha wa mahali mlipokutana.Kwa mfano tumekutana club, gonga heinkein zetu tunacheza nyimbo ya kitambaa cheupe huku nakamatia sambw..nda.Haluafu tunafika Gheto eti unasema mpaka tuoane, lazima nidai maana mazingara tuliokutana ni ya mautamu.Haya tumekuta kanisani kwenye kipindi cha maombi, unafikiri naweza hata kukushika mkono??, nitasubiri mpaka wote tuseme I do 3 times.
 
Jamaa naamin anadindisha na anapiga gemu kabsa..., ila kaamua tuu kuchuna, harafu mbona posibo kabsa kulala na demu na usipige mzigo kama hujaamua...
 
Si ameyataka mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aombee tu baada ya ndoa akutane na matarajio ya moyo wake.
Hiyo decision ya no sex mpaka ndoa inatufaa sisi wa kujitoa mhanga!!! Yaani tupo tayari kwa chochote... Mlenda, bamia, bilinganya, tango, fenesiiii...
 
kama mimi ndo huyo jamaa milalo yenyewe ndo hiyo kabla ya kulala valium itahusikA+sindano ya ganzi
 
Haa haa aiseee jamaaa katisha sana
Dem kabip sasa kapgiwa hapokei[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ww kweli uliaga kwenu na mbuz ukachinjiwa
Kabisa

Ngoja niandae barua hapa
 
Hongera yake kafaulu mtihani tena akaze mpaka mwishoooo
 
Mdada anahitaji kungwi huyo!!! Mwanaume ukimpumulia shingoni/sikioni tu, mashine inakua turned ON!!! [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Du hiyo special 'delivery to be opened on your honey moon' nayo inataka moyo, ukikutana na vituko huko na ndoa yenyewe ni ra Roman Catholic sijui unafanya nini?
Kwa hiyo shake before use inalipa mkuu?
 
Mdada anahitaji kungwi huyo!!! Mwanaume ukimpumulia shingoni/sikioni tu, mashine inakua turned ON!!! [emoji12] [emoji12] [emoji12]
hahaha duu watu mna sayansi hadi noma,kwa hyo mtu akipumuliwa hapo lazima boxer iwe ndogo
 
Si ajabu shost ameshaanza kuchakachua route,daladala ya goms yeye anaelekea bagamoyo,alafu unaamnin mtakutana goms
 
aache kusumbua watu... si kataka mwenyewe... alitumwa kuficha papuchi mwanzoni kwan...!!!!
 
Anataka atest mzigo asije kuuziwa mbuz kwenye gunia bure ndoa ikawa chungu
 
hii kesi utaijibu kesho... umejuaje.. ngoja nilale kwanza!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…