Mchumba hataki kusex anataka kulipa mahari

Hiyo ndiyo maana ya uhuru wa mtu binafsi, wengine wanaamua kuwa na vi toy boy, wengine wanakuwa na mume wa mtu kwa agenda ya sex tu, wengine wanaamua kununua plastic ni siri ya mtu.
hii dunia imeisha hivi kuna umri nyege hazivumiliki ama ?
 
Mh, Miss Natafuta haiwezekani hiyo. Yaani ulale na demu unaempenda kiasi cha kufikia kumfanya future wife wala isisimama????

Hapana hiyo haipo. Kwa sisi tulio rijali haiwezekani. Yaan apo kama jamaa hakula mzigo basi kuna tatizo kubwa sana. Yaan apo akimbie. Enzi hizi wala mm nisingekubali kuanza ku process ndoa bila kula mzigo. Huyo jamaa hayuko sawa sawa emotional au physicaly au hata biologically. Lazima ana matatizo ambayo rafiki yako atakuja kuyajutia akiamua kuingia kichwa kichwa.

Ushauri. Ajaribu kumtega zaidi. Alale na chupi na baada ya masaa machache hata chupi avue then aendelee ku apply utundu wake wote. Ikifika asubuhi jamaa hajala tunda, then amuambie wazi kuwa hataki ndoa tena kwa sbb kutakuwa na shida kubwa kwa huyo jamaa ambayo hataweza kuishi nayo.

Duh sisi wanaume wa ukweli hatuko hivo.
 
ahahaaa kweli mkuu sijui hili gemu litafanikiwaje member wenyewe hawajiamini
 
Well kama umekwenda kukachumbia katoto ka miaka 18 -20 kwakweli hutakatendea haki kama utaanza kumwambia 'shake before use'. Lakini ukutane na mdada anakwambia mimi bwana nimeamua baada kuwa disappointed aahhh!
Mambo mengine huwa nayaacha yapite tu maana kwangu ni magumu..........Hata kama namchumbia mwanamke wa aina gani, siwezi kufunga naye ndo bila kumlamba kwanza.
 
unadhani alilala na nguo ?.kwanza hatuvaagi chupi ukumbuke
 
ahahaaa kweli mkuu sijui hili gemu litafanikiwaje member wenyewe hawajiamini
kama ulishaonja kuacha kazi.. ila kama bado pengine unaweza kusimamia msimamo wako.. ukionja huwezi acha kirahisi labda kama umetendwa vibaya mno.. ile kitu starehe bwana asikwambie mtu, hasa ukimpata anaejua..
 
hii dunia imeisha hivi kuna umri nyege hazivumiliki ama ?
Mkuu maswala haya ni ya siri sana ndiyo maana viungo vyake vimewekwa hukoooo, wengine ni watiifu lakini likija swala hilo wanayofanya huwezi kuamini. Fanya vile unavyoona vinakupa Amani na moyo wako.
 
Aisee kupata mwanaume wa hivi mida hii ni kama kuokota embe chini ya mchungwa.
Labda kaka wa watu ana nia nzuri ya kuji save until marriage maana suprise ina raha yake atii..
 
Mimi najua inawezekana.. na nina uhakika kabisa kuwa inawezekana, kila kitu kinaanzia akilini mwako
 
yan alimbeep mshikaj kampigia..anatikisa kiberitndo hakitingisshiki ivo tena
 
Miss mwambie shogako kama jamaa kakomalia ahadi asije kuvunja uchumba bidada akimlazimisha.
Ama kama vipi bidada apime kipi cha muhimu kwa sasa.
Ndoa, ama kuona vifaa vya jamaa kwanza.
 
Kubali ukatae ila nina uhakika umeelewa ndivyo sivyo
 
Hii story ni ya kutunga,,, ila pia wapo watu hawa du mpaka ndoa,,,, wala sio mmoja,,,
 
unadhani alilala na nguo ?.kwanza hatuvaagi chupi ukumbuke
Inamaana huyo demu alishindwa hata kumshika mkono jamaa na kuupeleka uko chini. Kwa mwanaume rijali, akishaigusa tu, kitu kina lipuka uku.

Yaani huyo jamaa ana upungufu mkubwa. Heb muulize huyo dada kama haikusimama kabisa au?? Hakujaribu kuigusa kwa mkono kuona kama imesimama, inawezekana hata kusimama haikusimama, kama ingesimama jamaa angelalamika kuwa demu anampa wakati mgumu.

Ni ngumu sana kwa mwanaume wa type yangu, ngoma isimame halafu uko na demu kwa room then et uvumilie mpaka asubuhi. Impossible Mkuu. Watu wanabaka et,

Huyo ana matatizo makubwaaaaa
 
Alianzisha mwenzie kamaliza analia nini, asubirie tu waoane atakachokikuta akipokee tu.
 
Mambo ya mahusiano ni magumu sana... haswa kwa nyie wanawake... mara nyingi mnaanzisha mambo ambayo mnajua kabisa ni magumu kuyatekeleza huku rohoni mnatamani yaishe... Huyo mwanamke alisema hivyo kwa nia njema akijua kabisa huyo jamaa atashindwa hilo zoezi na mwishowe wakaangukia kwenye sex na mwanamke kuonekana kama yeye alivumilia lakini jamaa ndiyo kashindwa... bahati nzuri jamaa amekaza... Safi sana...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…