Mchumba hataki kusex anataka kulipa mahari

Kwa hio na mimi tutajaribu kwanza eeh?
 
Hapa. Ndo lile suala la kuvumiliana kwa shida na raha.maana uliamua kutokushiriki nae chochote inabidi,akubali tu kuolewa. Itasimama wakiwa ndani ya ndoaa.
 
Unalala na mwanaume usiku kucha unashindwa kumtega kweli ili upime oil. Mwanamke mwenzangu unaniabisha bwana siku zote nawaambia hakuna mwanaume mgumu mbele ya mwanamke.
 
Mwambie angalie asije uziwa mbuz kwenye gunia [emoji108] [emoji126]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…