Yote hayo aliyajuaje?Alafu dada mtu ndio amekuja kumuombea ushauri huku....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Heshima yako mkuu.... unakila sifa ya kujiunga na kitengo cha intelijensia hakiYote hayo aliyajuaje?
Ukishaona mtu anajifanya kuleta stori ya mtu mwingine afuu yuko deep shtuka!
Mku atauuziwaje mtu mbuzi kwenye gunia wakati wote wanalengo mojaweee hivi hii idadi ya single mothers hujaiona au huijui? trust me dalili njema haihusiani kabisa na swala la kubebeshwa mimba kabla ya ndoa
una maanisha nini?Mku atauuziwaje mtu mbuzi kwenye gunia wakati wote wanalengo moja
Huyo siyo Dogo ni wewe mwenyewe ndo unamiliki hii stori
"NDOA hailazimishwi"Ndoa huwa ailazimishwi aiseeeee.....
Ndoa ni jambo la kheri, na kheri ni mpango wa Mungu...
Alafu kwanini unaingilia mambo na mahusiano ya watu...!!? Mwisho utaja itwa mchawi aiseeeee
Kabisa mkuu"NDOA hailazimishwi"
Umemaliza
SijakuelewaHii stori ni ya kwako
Eti wife... mi nlikuita mchumba kabla hatujatambulishana kwa wazazi?Jamaa anafaidi kitumbua kwanza akikinahi atatafuta because ya kum wacha dogo.
Miaka 28 she should have known better.
Hubby ukipoanza kusema lazima ninafahamu ndugu zako nilijua hii ni one way ticket no returnEti wife... mi nlikuita mchumba kabla hatujatambulishana kwa wazazi?
Sasa hawa hata hawafahamu ndugu za mwanaume lakini tayari anamwita mchumba...Hubby ukipoanza kusema lazima ninafahamu ndugu zako nilikuwa hii ni one way ticket no return
Ndoa ni bidhaa adimu sana ukiiona unaikumbatiaSasa hawa hata hawafahamu ndugu za mwanaume lakini tayari anamwita mchumba...