Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
Inawezekana..kuna jukwaa la Love connet liko MMU...unaweza kurusha tangazo!Mi nataka wangu atokee jamii forum sjui kuna possibility hizo?
Inawezekana..kuna jukwaa la Love connet liko MMU...unaweza kurusha tangazo!Mi nataka wangu atokee jamii forum sjui kuna possibility hizo?
Yah background check ni muhimu..kuchunguzana tabia na kufahamiana vyema na muhusika ni muhimu vilevile...kuna vitu havivumiliki!Na nina mfano hai wa hilo!Muda mfupi ulopita nilikuwa naangalia drama moja tittled ''The other Woman'' of whom popo mmoja ambaye alikuwa married, tena kapata mke soft hearted alivyokuwa anachepuka! Kimbembe ni pale Mistress zake hapo walipoamua kujiunga na mke wa jamaa na kuruin maisha ya huyu Cheater!
Nadhani kwa binadamuwa kawaida ambaye hakupata kuruka hatua yoyote ya maisha kucheat kupo tu sema viwango tunatofautiana, kuna wanaocheat kwa macho tu, wengine hadi kudig gold but all in all kuna sababu ya kukaa chini ukishampata prince chubby wako na kupitia CV yake ya mahusiano kabla hujashuka wino wa makubaliano!
Yah background check ni muhimu..kuchunguzana tabia na kufahamiana vyema na muhusika ni muhimu vilevile...kuna vitu havivumiliki!Na nina mfano hai wa hilo!
Kwa kuonja onja, haraka haraka na kutofuata sauti ya Mungu wengi tumekuta tunaingia kwenye mahusiano ya chap chap na kuolewa/kuoa waume/wanawake wasiokuwa wetu na kwa kuwa yaliyomo yamo tunapata na watoto wasio na kibali...
Muda unasogea na unakuja kurealise kwamba uchaguzi uloufanya mwanzo haukuwa sahihi na kwamba moyo wako una belong kwa mtu mwingine, sasa nawaza confession hapa inakuwaje? Utathubutu kusema ukweli wa roho yako kwamba umekiss fogs wote tokea A to Z alphabetically na kwamba kuna na wengine ulifanya supplementary kwa maana ya kurudia zaidi ya mara moja?
Kuna mambo hayafichiki rafiki kama mfano watoto/uliolewa au kuoa awali hivo vitu vina hitaji explanation A-Z lkn kuna vitu vingine ukivichunguza sana unajitafutia majeraha ya moyo waswahili wanasema ukimchumguza sana bata huwezi kumla!
Kuna mambo hayafichiki rafiki kama mfano watoto/uliolewa au kuoa awali hivo vitu vina hitaji explanation A-Z lkn kuna vitu vingine ukivichunguza sana unajitafutia majeraha ya moyo waswahili wanasema ukimchumguza sana bata huwezi kumla!
Kuna wakati sisi wa jinsia ya kiume sijui tunakuwa na tatizo gani hasa....utakuta mtu ana mke ambaye hata kaka za binti walimwonea wivu kumpata kwa kuwa binti yuu mkamilifu tokea rohoni, upstairs na pia yaliyomo yamo lakini kutwa nzima mume kukimbizana midege isiyoliwa....
Hata sijui nisemeje...insecurity i guess...midege isiyoliwa ni nn?