Mchumba .com

Mchumba .com

Tiresome kwa kweli....najihisi sijapumzika ipasavyo jana nilikuwa mzigoni full day!!

Madam tutumike sasa to the fullest tungali na nguvu zetu maana siku zetu za kuishi duniani zikiisha tutapata muda wa kutosha kupumzika hukoooo makaburini.....tafuta mtaji wa uzeeni maa'm!
 
Madam tutumike sasa to the fullest tungali na nguvu zetu maana siku zetu za kuishi duniani zikiisha tutapata muda wa kutosha kupumzika hukoooo makaburini.....tafuta mtaji wa uzeeni maa'm!
Kabisa yote kheri tu my dia....Its for our better future...
 
Lol acha zako...

Embu ngoja niombe mwongozo Madam Speaker ....
Hivi kwenye hii NGO almaarufu kama ndoa ni jambo gani ni muhimu zaidi kati ya yafuatayo
  • Ukweli na uwazi tokea kwenye hatua ya mawindo? Ukweli naozungumzia hapa ni hadi ule mchungu!
  • Uwezo kifedha na maisha ya hadhi ya juu?
  • Usanii na ujanja ujanja mwingi?
Naomba jibu usinipe mji sitaki kusafiri sasa mabasi yamechukua nafasi ya Israel kwa sasa!
 
Ukweli na uwazi tokea kwenye hatua ya mawindo!
 
Ukweli na uwazi tokea kwenye hatua ya mawindo!

Muda mfupi ulopita nilikuwa naangalia drama moja tittled ''The other Woman'' of whom popo mmoja ambaye alikuwa married, tena kapata mke soft hearted alivyokuwa anachepuka! Kimbembe ni pale Mistress zake hapo walipoamua kujiunga na mke wa jamaa na kuruin maisha ya huyu Cheater!

Nadhani kwa binadamuwa kawaida ambaye hakupata kuruka hatua yoyote ya maisha kucheat kupo tu sema viwango tunatofautiana, kuna wanaocheat kwa macho tu, wengine hadi kudig gold but all in all kuna sababu ya kukaa chini ukishampata prince chubby wako na kupitia CV yake ya mahusiano kabla hujashuka wino wa makubaliano!
 
Back
Top Bottom